Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
 
Kibaha ni mawakala tu, pia hapo ni karibu, nenda kiwandani kwao kabisa tazara pale kama unaweza
 
Ni sawa, basi tafuta wakala wa alaf kibaha, ila huko kiwanda hamna, viwanda vya mabati si kama tigopesa.
Sawa mkuu hivi nyumba ya chumba kimoja sebule jiko choo zinaweza kuingia bati ngapi
 
Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu
Jiran unatak kupaua uhamie kwako, vtavyobakia niazime mkuu
 
Sawa mkuu hivi nyumba ya chumba kimoja sebule jiko choo zinaweza kuingia bati ngapi
Inategemea ukubwa wa vyumba na mfumo wa upauaji, wengine chumba mita 3, wengine mita 5 nk,

Kwa kawaida bati lina ukubwa wa mita tatu, elevation ya kawaida ni mita 7.5, yani wanalaza bati mbili na nusu hadi kufika top ridge.
Kama unaweza kadiria
 
Duuh mkuu Mimi ndio naanza ujenzi wangu wa kwanza vipi bando Moja la alaf linatosha nataka mfumo wa paa nne
 
Duuh mkuu Mimi ndio naanza ujenzi wangu wa kwanza vipi bando Moja la alaf linatosha nataka mfumo wa paa nne
Bando moja ni bati 12 zenye urefu wa m3 na upana wa cm 80, again, it depends with your house style and size.
 
Back
Top Bottom