Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Sasa ngoma inakua mbali usafiri mkuuKibaha ni mawakala tu, pia hapo ni karibu, nenda kiwandani kwao kabisa tazara pale kama unaweza
Ni sawa, basi tafuta wakala wa alaf kibaha, ila huko kiwanda hamna, viwanda vya mabati si kama tigopesa.Sasa ngoma inakua mbali usafiri mkuu
Sawa mkuu hivi nyumba ya chumba kimoja sebule jiko choo zinaweza kuingia bati ngapiNi sawa, basi tafuta wakala wa alaf kibaha, ila huko kiwanda hamna, viwanda vya mabati si kama tigopesa.
Jiran unatak kupaua uhamie kwako, vtavyobakia niazime mkuuNataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu
Sawa mkuuJiran unatak kupaua uhamie kwako, vtavyobakia niazime mkuu
Kila la Heri , mimi wa 6 nazn nitawek bati juuSawa mkuu
Inategemea ukubwa wa vyumba na mfumo wa upauaji, wengine chumba mita 3, wengine mita 5 nk,Sawa mkuu hivi nyumba ya chumba kimoja sebule jiko choo zinaweza kuingia bati ngapi
Duuh mkuu Mimi ndio naanza ujenzi wangu wa kwanza vipi bando Moja la alaf linatosha nataka mfumo wa paa nneInategemea ukubwa wa vyumba na mfumo wa upauaji, wengine chumba mita 3, wengine mita 5 nk,
Kwa kawaida bati lina ukubwa wa mita tatu, elevation ya kawaida ni mita 7.5, yani wanalaza bati mbili na nusu hadi kufika top ridge.
Kama unaweza kadiria
Bando moja ni bati 12 zenye urefu wa m3 na upana wa cm 80, again, it depends with your house style and size.Duuh mkuu Mimi ndio naanza ujenzi wangu wa kwanza vipi bando Moja la alaf linatosha nataka mfumo wa paa nne
Duuh sawa mkuuBando moja ni bati 12 zenye urefu wa m3 na upana wa cm 80, again, it depends with your house style and size.