MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
...Lainisha kidogo Lugha...sema NAOMBA Ushauri, Sio NATAKA Ushauri ! Anyway, Pole...Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna.
Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za maumivu. Nikizitumia huwa yanatoweka ila nisipotumia sikai muda mrefu maumivu huanza tena. Kuna dawa ya kienyeji pia nilitumia ikasaidia kiasi ila bado maumivu yapo. Kuhusu kula na kunywa ninaendelea kama kawaida.
Je, nifanyeje ili nisiendelee kutumia dawa za maumivu kila mara yaani karibu kila siku?
Sio lazima ushauri. Kama huna la kushauri KAA KIMYA....Lainisha kidogo Lugha...sema NAOMBA Ushauri, Sio NATAKA Ushauri ! Anyway, Pole...
Meno kwa watu wengi ninaojua huwa yanapona kwa kujaribu dawa tofauti za asili bila kuchoka, muhimu ziwe salama. Sababu hujui tatizo ni nini so dawa ya asili inaweza kuwa inatibu ila sio kwa chanzo kama chako, ukaitumia ukakosa matokeo ukasema haifanyi kazi. Au ukawa recommend na mtu aliyepona nayo kumbe tatizo lake sio lako.Sio lazima ushauri. Kama huna la kushauri KAA KIMYA.
Asante sana. Nitakucheki mkuu kwasababu nataka kung'oa iwe option ya mwisho kabisa.Meno kwa watu wengi ninaojua huwa yanapona kwa kujaribu dawa tofauti za asili bila kuchoka, muhimu ziwe salama. Sababu hujui tatizo ni nini so dawa ya asili inaweza kuwa inatibu ila sio kwa chanzo kama chako, ukaitumia ukakosa matokeo ukasema haifanyi kazi. Au ukawa recommend na mtu aliyepona nayo kumbe tatizo lake sio lako.
Kwa wazungu meno ya nyuma kabisa kinywani huwa wanayapunguza kwanza hayana kazi. Labda kwanza ungeona dentist wa kawaida ila ana skills alimsaidia sister yuko Dar hii. At least ujue possibly maumivu yanasababishwa na nini, then uamue utumie njia ya kisasa au ya asili.
Ukitaka namba njoo PM
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona mgonjwa mkali hivi?Sio lazima ushauri. Kama huna la kushauri KAA KIMYA.
KuwWakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna.
Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za maumivu. Nikizitumia huwa yanatoweka ila nisipotumia sikai muda mrefu maumivu huanza tena. Kuna dawa ya kienyeji pia nilitumia ikasaidia kiasi ila bado maumivu yapo. Kuhusu kula na kunywa ninaendelea kama kawaida.
Je, nifanyeje ili nisiendelee kutumia dawa za maumivu kila mara yaani karibu kila siku?
Usidharau maumivu ya meno ni hatari. Dawa za maumivu zinaficha tatizo, dawa ni kung'oa weka bandia kama unataka, pili ni kwenda kwa daktari wa meno sana sana ( hygienist) ili aangalie fizi zako kama zinashika meno vizuri. Mwisho, kama utapata infections kupitia jino siyo kesi nzuri., kwa sababu zitaenda moja kwa moja kwenye mishipa ya damu kwenye ubongo. Daktari wa meno atakupiga xray ya mdomoni na kukushauri nini cha kufanya. Madaktari wetu wengi wanajua tu kusema ng'o jino, kwa sababu hakuna vifaa vya Xray ya meno. Kwa karne hii kila daktari wa meno lazima awe na hivi vifaa.Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna.
Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za maumivu. Nikizitumia huwa yanatoweka ila nisipotumia sikai muda mrefu maumivu huanza tena. Kuna dawa ya kienyeji pia nilitumia ikasaidia kiasi ila bado maumivu yapo. Kuhusu kula na kunywa ninaendelea kama kawaida.
Je, nifanyeje ili nisiendelee kutumia dawa za maumivu kila mara yaani karibu kila siku?
Ulifanya makosa kutoling'oa. Meno yako ya utototoni hayakung'oka yote wakati unaanza kukomaa na ndiyo yanayokusumbua sasa; inabidi yangolewe na mtaalamu.Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna.
Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za maumivu. Nikizitumia huwa yanatoweka ila nisipotumia sikai muda mrefu maumivu huanza tena. Kuna dawa ya kienyeji pia nilitumia ikasaidia kiasi ila bado maumivu yapo. Kuhusu kula na kunywa ninaendelea kama kawaida.
Je, nifanyeje ili nisiendelee kutumia dawa za maumivu kila mara yaani karibu kila siku?
Mkuu nilikuja kuling'oa na kwa sasa niko huru. Lile jino lilinipa shida sana.Ulifanya makosa kutoling'oa. Meno yako ya utototoni hayakung'oka yote wakati unaanza kukomaa na ndiyo yanayokusumbua sasa; inabidi yangolewe na mtaalamu.