Kwa mtaala huu wa oxford labda tusubiri baada ya miaka 30 ijayo.Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. π
Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho wa siku mnakodoleana macho, mchanganyiko wa maombi unaanza: βYesu wangu, Mtume, Mungu wangu, Ya Rabbi, Ya Allahβ¦β π
Ukiangalia kwa mfano wa tukio lililotokea huko Saudi Arabia angani, baada ya pilots kuchambana na hali kufikia hatua ya kuanza kupigana, abiria mmoja alijaribu kushika controls huku pilots wakiendelea kurushiana makonde.
Sasa fikiria kama jambo kama hili lingetokea Bongo kwenye Air Tanzania. Abiria wote wangekaa kimya kwa sekunde chache, halafu kila mtu angeanza kuomba kwa lugha yake. π
Tofauti na gari ambalo likipata ajali, impact inaweza kutokea ndani ya sekunde chache, ndege iko angani ikiwa na muda fulani wa kufanya maamuzi na kuchukua hatua. Ndege nyingi za abiria husafiri kwenye altitude ya takribani futi 30,000 hadi 42,000βsawa na karibu kilomita 9 hadi 13 juu ya usawa wa bahari.
Kwa hiyo, kama mambo yamevurugika ndani ya cockpit, iwe ni pilots wamepata tatizo, wamejeruhiwa au kuna hali nyingine ya dharura, angalau abiria mmoja akiwa na basic knowledge anaweza kusaidia kuelewa controls na kuwasiliana na air traffic control.
Wenzetu, utakuta hata madogo wanajua kusukuma Boeing bila masihara. Na wengine wameanza kujifunza kupitia flight simulators tu. π
Sisi huku? Ukiona ndege inaanza kuyumba kidogo, mtu anaanza: βYa Rabbi! Ya Allah! Yesu wangu!β ππ
Labda....kila kitu kuna kujaribu kwa mara ya kwanza.Nice... tukikupa Bombardier kwenye emergency unaweza sukuma bila shida?
Mkuu ndege sio bajaji.Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. π
Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho wa siku mnakodoleana macho, mchanganyiko wa maombi unaanza: βYesu wangu, Mtume, Mungu wangu, Ya Rabbi, Ya Allahβ¦β π
Ukiangalia kwa mfano wa tukio lililotokea huko Saudi Arabia angani, baada ya pilots kuchambana na hali kufikia hatua ya kuanza kupigana, abiria mmoja alijaribu kushika controls huku pilots wakiendelea kurushiana makonde.
Sasa fikiria kama jambo kama hili lingetokea Bongo kwenye Air Tanzania. Abiria wote wangekaa kimya kwa sekunde chache, halafu kila mtu angeanza kuomba kwa lugha yake. π
Tofauti na gari ambalo likipata ajali, impact inaweza kutokea ndani ya sekunde chache, ndege iko angani ikiwa na muda fulani wa kufanya maamuzi na kuchukua hatua. Ndege nyingi za abiria husafiri kwenye altitude ya takribani futi 30,000 hadi 42,000βsawa na karibu kilomita 9 hadi 13 juu ya usawa wa bahari.
Kwa hiyo, kama mambo yamevurugika ndani ya cockpit, iwe ni pilots wamepata tatizo, wamejeruhiwa au kuna hali nyingine ya dharura, angalau abiria mmoja akiwa na basic knowledge anaweza kusaidia kuelewa controls na kuwasiliana na air traffic control.
Wenzetu, utakuta hata madogo wanajua kusukuma Boeing bila masihara. Na wengine wameanza kujifunza kupitia flight simulators tu. π
Sisi huku? Ukiona ndege inaanza kuyumba kidogo, mtu anaanza: βYa Rabbi! Ya Allah! Yesu wangu!β ππ
Ndio hiyo inaeleweka vyema, ndege sio bajaji au scooter.... cha msingi ni kujua basic na namna ya kuwasiliana na ATCMkuu ndege sio bajaji.
Ila nimeangalia sana Air Crash Investigation kiasi kwamba basic za ndege nazijua vizuri likitokea tukio kama hilo nikiongozwa na ATC naweza kuishusha salama ingawa kwa mbinde.
π€£π€£π€£π€£ Sasa hii si utaua abiria woteWanao cheza aviator watakuwa wataalamu sana
View attachment 3681633
Hehe!Hakuna mnemba hapo