Wakuu tujulishane tusiyoyajua kuhusu shule za jinsia moja

Wakuu tujulishane tusiyoyajua kuhusu shule za jinsia moja

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
23,382
Reaction score
29,639
Huu ni uzi maalum kwa wazazi wa sasa na wa baadae kujulishana kuhusu faida na hasara za shule za sekondari ambazo zina wanafunzi wa jinsia moja.
Hivyo mdau tunapenda kushirikishana mawili matatu ya shule hizi ili wazazi wanapopeleka watoto wao wawe na informed decision.
D_-pN__XsAAcfve.jpeg

Naomba ku share nanyi mitazamo ya watu kadhaa walio nje ya bongo juu ya same sex school

1. Very few girls that go through all girls schools come out normal. The majority are 'high key' crazy, and sadly are the only ones who end up benefiting the least long term from their own special education. Gender isolation leads to unwholesome education

2. Most are either always awkward around the opposite sex or freakishly horny around the opposite sex

3. That's a school you will attend and always finding yourself having issues with opposite sex.... Either you are obsessed with them or the other way round... Mixed is full of exposure and experience

4. Breeding places for lesbians and gays esp. Boarding schools.
 
Wanangu wa Ndanda Boys piga keleleeee
Mimi nilisoma boys at A level tu na ktk level Hii kila mtu asha experience utamu wa bao hata kwa mkono.
So hayo mambo ya ushoga labda single schools za primary wasiojua km mwanaume anapanda sio kupandwa.
Na hii school naipenda kuliko taasis zote za elimu nilizopitia coz of freeeedom
 
Una undugu na Nape ?
Maana yeye ndiye muasisi wa bao la mkono.
 
Msinikumbushe mademu wa Loleza.
Mademu wana nyege hadi wanaumwa ugonjwa wa kucheka, Iyunga sekondari, shule ya wavulana watupu , vijana wana ugwaduuu, akiingia mwalimu wa kike, daraja Zima wanasimamisha minara yao
Ulisoma shule ipi kati ya hizo mbili ?
au ulikuwa st Francis
 
Back
Top Bottom