Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
Wakuu nani aniafuatilia hii issue ya UAPS ? au kama kawaida yenu ndugu zangu ni mwendo wa kubaki gizani tu🙂
Kwa wale mnaoamini eti UFOs hawafiki Africa, think again, proof hiyo hapo na nyingine kibao zipo online. Kwa wale mnaofuatilia mmeisikia documentary iitwayo The Age of Disclosure Directed by Dan Farah ? Una maoni gani full disclosure itakuepo kweli?
Inasemekana kuanzia sasa mpaka 2027 lazima tutaambiawa. Nchi kama Urusi, China , US , Ufaransa, Europe, Mexico, Canada, Brazil , Argentina na nchi nyingine duniani zinachunguza UFOs, unafikiri na serikali ni muhimu ichunguze ??