Wakuu UAPs/UFOs wanafika kila mahali hadi Africa, proof hiyo hapo (clip -tukio lilitokea Zimbabwe )

Lovelia de Valmorra

Senior Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
132
Reaction score
182
Wakuu nani aniafuatilia hii issue ya UAPS ? au kama kawaida yenu ndugu zangu ni mwendo wa kubaki gizani tuπŸ™‚

Kwa wale mnaoamini eti UFOs hawafiki Africa, think again, proof hiyo hapo na nyingine kibao zipo online. Kwa wale mnaofuatilia mmeisikia documentary iitwayo The Age of Disclosure Directed by Dan Farah ? Una maoni gani full disclosure itakuepo kweli?

Inasemekana kuanzia sasa mpaka 2027 lazima tutaambiawa. Nchi kama Urusi, China , US , Ufaransa, Europe, Mexico, Canada, Brazil , Argentina na nchi nyingine duniani zinachunguza UFOs, unafikiri na serikali ni muhimu ichunguze ??
 
Hiyo habari ni ya kweli kabisa.
Na kwa kuingezea TU ni kwamba UFO sio viumbe Bali ni vyombo vya kusafiria hao viumbe.
UFO -U nidentified F lying O bject
Ila viumbe wenyewe wanaitwa Aliens.
Ni kweli Hawa wameonekana sehemu mbalimbali duniani.
Ukitaka kupata habari zao zaidi google Jina la nchi halafu weka neno Rosswell.
Mfano Russianroswell
 
Dah shule some tym n upimbi tu, ss huyu naye n msomi eti
uko sahihi , pia viumbe siku hizi wanaitwa non-human intelligence na pia inaaminika hivyo vyombo UFOs (siku hizi wanaitwa UAPs=unidentified aerial phenomena)vina uelewa sio vyombo kama ndege zetu zilivyo .
 
Hii sayari ya dunia ni sehemu ndogo sana ya UNIVERSE. Sijui neno la la Kiswahili la universe. Na kuna mengi tusioyajua ndani ya dunia yetu, sembuse yaliyopo nje ya hii dunia.
 
Hapa watu wako bize na pipitida...na kuiba tu...
Labda ikitokea encounter waliyopata wale maafisa wa jeshi na serikali ikawapata labda ndio wataamini mkuu ...
Hongera mkuu kwa kufatilia ...yule mwamba bigi anapush sana ..
 
Kitu kama hukijui usiwe mwepesi kupinga.
Kitu kikiwa kipya kwako ukisikia Kwa mara ya kwanza tulia halafu fanya utafiti.
Watanzania Hawa wa kufanya utafiti? Asilimia 90 konekshen ya video ya NGONO ikitokea wako radhi wakaitafute popote pale hata kama ni kuzama ndani ya bahari na si documentaries kama hizi
 
Zimbabwe tena πŸ˜‚πŸ˜‚ wale wale wa cars na TVs za unknown unlimited energy, halafu rais aka call press conference bila research, no proof πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ comedy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…