Wakuu ushauri wenu katika changamoto ya kuendesha gari

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Wakuu nawasalimu katika jina la jukwaa hili.Nina changamoto fulani ambayo ningependa mnisaidie katika haya masuala ya uendeshaji wa magari ya automatic.

Mimi sina mda mrefu tokea nijifunze kuendesha magari na tokea pia nianze kuendesha magari.Kwa hiyo sina uzoefu katika kuendesha magari.Naishi katika mji fulani hapa Tanzania na safari zangu huwa ni kutoka nyumbani kuelekea ofisini,ofisini nyumbani au kutoka nyumbani kwenda bar.Kwa hiyo gari muda wote huwa naendeshia katika gear ya D(Automatic transmission)

Sijawahi kuendesha gari katika maeneo yenye milima mikubwa na ya kutisha na kushuhudia pamoja na kujifunza changamoto zake.Sasa shida inaanzia hapa,wiki ijayo nina safari fulani ya kijijijini.Huko ninakotaka niende ni kilomita 30 kutoka hapa mjini na hilo eneo ni barabara ya vumbi yenye vilima vinavyotisha sana na vyenye kona nyingi.Yaani katika huo umbali wa kilomita 30,asilimia 90 ya barabara hiyo ni kilima cha kutisha na chenye kona nyingi.Gari likiwa linapanda hayo maeneo unaweza kufikiri ya kuwa linataka kubinuka.

Sasa wakuu maswali yangu kwenu ni haya:

1.Je ninaweza kuendesha gari kwenye huo umbali wa vilima wa kilomita 30 kwa kutumia gear namba D peke yake (Automatic transmission)bila ya kubadili kwenda manual?Na kama ninatakiwa kubadili somewhere kwenda manual ni kwa nini?Ina maana automatic transmission haijitoshelezi?

2.Je ninaweza kuiamini gear namba D na nikaitumia kuclear eneo lote la milima katika hiyo safari yangu?Je kuna hasara yoyote kwa gari kwa kuendesha safari nzima ya milima kwa kutumia automatic transmission peke yake bila ya kubadili kwenda manual?Gari ni hizi babywalker.

Shukrani
5088102.jpg
 
1. Ndio. Weka D kisha cheza na steringi, wese na breki, ukifika weka P.

2. Hakuna madhara yoyote.

Mzungu alivyoweka, ni kwamba penye kuhitaji gear ndogo gari itaweka gear ndogo penye gear kubwa itaweka kubwa.

Hizo Manual ni fancy mtu akipenda kucontrol gari lakini haita maanisha kwamba ndio ya kupanda mlima au bonde.

We control speed tu. Usikimbizane kama mashindano maana umesema wewe sio mzoefu.
 
1. Ndio. Weka D kisha cheza na steringi, wese na breki, ukifika weka P.

2. Hakuna madhara yoyote.

Mzungu alivyoweka, ni kwamba penye kuhitaji gear ndoto gari itaweka gear ndoto penye gear kubwa itaweka kubwa.

Shukrani sana mkuu!
 
Daah mkuu sijaelewa yaani gari yako ina mifumo miwili kwa pamoja automatic na manual? Kwa hiyo ni wewe tu unaamua utumie automatic au manual
Yeah wanaziita Semi Automatic Transmission. Kama kwenye picha aliyoweka. Sema hazinaga clutch.

Gear zake hauweki kwa kutafuta kama manual za kawaida ila mara nyingi unapeleka nyuma kuongeza gear na mbele kushusha. Au pia ukipunguza speed inashusha yenyewe.

Zina ka utamu flani ukiwa una overtake.
 
1. Ndio. Weka D kisha cheza na steringi, wese na breki, ukifika weka P.

2. Hakuna madhara yoyote.

Mzungu alivyoweka, ni kwamba penye kuhitaji gear ndoto gari itaweka gear ndoto penye gear kubwa itaweka kubwa.

Hizo Manual ni fancy mtu akipenda kucontrol gari lakini haita maanisha kwamba ndio ya kupanda mlima au bonde.

We control speed tu. Usikimbizane kama mashindano maana umesema wewe sio mzoefu.

Bosa kwa kupanda ni sawa, anaweza panda na D mwanzo mwisho, ila muda wa kushuka akitumia D itakuwa balaa maana gari itakuwa ina accelerate kutokana na mtelemko so itamlazimu jamaa kutumia sana brake.

For Me wakati wa kushuka atumie manual. Acheze na Gia namba 1 na mbili. Hii itafanya gari kuwa nzito na stamina pia haitakuwa na speed.

ila akigika maeneo mazuri anaweza tumia D gari iamue
 
Yeah wanaziita Semi Automatic Transmission. Kama kwenye picha aliyoweka. Sema hazinaga clutch.

Gear zake hauweki kwa kutafuta kama manual za kawaida ila mara nyingi unapeleka nyuma kuongeza gear na mbele kushusha. Au pia ukipunguza speed inashusha yenyewe.

Zina ka utamu flani ukiwa una overtake.
oooh safi..mfano gari gani ndogo ina mfumo huu mkuu?
 
Wakuu nawasalimu katika jina la jukwaa hili.Nina changamoto fulani ambayo ningependa mnisaidie katika haya masuala ya uendeshaji wa magari ya automatic.

Mimi sina mda mrefu tokea nijifunze kuendesha magari na tokea pia nianze kuendesha magari.Kwa hiyo sina uzoefu katika kuendesha magari.Naishi katika mji fulani hapa Tanzania na safari zangu huwa ni kutoka nyumbani kuelekea ofisini,ofisini nyumbani au kutoka nyumbani kwenda bar.Kwa hiyo gari muda wote huwa naendeshia katika gear ya D(Automatic transmission)

Sijawahi kuendesha gari katika maeneo yenye milima mikubwa na ya kutisha na kushuhudia pamoja na kujifunza changamoto zake.Sasa shida inaanzia hapa,wiki ijayo nina safari fulani ya kijijijini.Huko ninakotaka niende ni kilomita 30 kutoka hapa mjini na hilo eneo ni barabara ya vumbi yenye vilima vinavyotisha sana na vyenye kona nyingi.Yaani katika huo umbali wa kilomita 30,asilimia 90 ya barabara hiyo ni kilima cha kutisha na chenye kona nyingi.Gari likiwa linapanda hayo maeneo unaweza kufikiri ya kuwa linataka kubinuka.

Sasa wakuu maswali yangu kwenu ni haya:

1.Je ninaweza kuendesha gari kwenye huo umbali wa vilima wa kilomita 30 kwa kutumia gear namba D peke yake (Automatic transmission)bila ya kubadili kwenda manual?Na kama ninatakiwa kubadili somewhere kwenda manual ni kwa nini?Ina maana automatic transmission haijitoshelezi?

2.Je ninaweza kuiamini gear namba D na nikaitumia kuclear eneo lote la milima katika hiyo safari yangu?Je kuna hasara yoyote kwa gari kwa kuendesha safari nzima ya milima kwa kutumia automatic transmission peke yake bila ya kubadili kwenda manual?Gari ni hizi babywalker.

ShukraniView attachment 1714032
Tumia D tu gari ndogo kupanda na kushuka kama hamna matope haina complications.
 
Bosa kwa kupanda ni sawa, anaweza panda na D mwanzo mwisho, ila muda wa kushuka akitumia D itakuwa balaa maana gari itakuwa ina accelerate kutokana na mtelemko so itamlazimu jamaa kutumia sana brake.

For Me wakati wa kushuka atumie manual. Acheze na Gia namba 1 na mbili. Hii itafanya gari kuwa nzito na stamina pia haitakuwa na speed.

ila akigika maeneo mazuri anaweza tumia D gari iamue
Mkuu kushuka inajulikana kuwa manual ni lazima,mimi ishu yangu ni kuhusu kupanda.
 
Wakuu nawasalimu katika jina la jukwaa hili.Nina changamoto fulani ambayo ningependa mnisaidie katika haya masuala ya uendeshaji wa magari ya automatic.

Mimi sina mda mrefu tokea nijifunze kuendesha magari na tokea pia nianze kuendesha magari.Kwa hiyo sina uzoefu katika kuendesha magari.Naishi katika mji fulani hapa Tanzania na safari zangu huwa ni kutoka nyumbani kuelekea ofisini,ofisini nyumbani au kutoka nyumbani kwenda bar.Kwa hiyo gari muda wote huwa naendeshia katika gear ya D(Automatic transmission)

Sijawahi kuendesha gari katika maeneo yenye milima mikubwa na ya kutisha na kushuhudia pamoja na kujifunza changamoto zake.Sasa shida inaanzia hapa,wiki ijayo nina safari fulani ya kijijijini.Huko ninakotaka niende ni kilomita 30 kutoka hapa mjini na hilo eneo ni barabara ya vumbi yenye vilima vinavyotisha sana na vyenye kona nyingi.Yaani katika huo umbali wa kilomita 30,asilimia 90 ya barabara hiyo ni kilima cha kutisha na chenye kona nyingi.Gari likiwa linapanda hayo maeneo unaweza kufikiri ya kuwa linataka kubinuka.

Sasa wakuu maswali yangu kwenu ni haya:

1.Je ninaweza kuendesha gari kwenye huo umbali wa vilima wa kilomita 30 kwa kutumia gear namba D peke yake (Automatic transmission)bila ya kubadili kwenda manual?Na kama ninatakiwa kubadili somewhere kwenda manual ni kwa nini?Ina maana automatic transmission haijitoshelezi?

2.Je ninaweza kuiamini gear namba D na nikaitumia kuclear eneo lote la milima katika hiyo safari yangu?Je kuna hasara yoyote kwa gari kwa kuendesha safari nzima ya milima kwa kutumia automatic transmission peke yake bila ya kubadili kwenda manual?Gari ni hizi babywalker.

ShukraniView attachment 1714032

D ni gia Salama kabisa ambayo Gari inajipangia kupandisha ama kushusha Gia yenyewe kulingana na Mwinuko na Mwendokasi. Usiwaze kabisa.

Kwenye mteremko mrefu ambao unahitaji kushikilia brake kwa muda mrefu bila kuachilia, unashauriwa kutumia gia ndogo kama vile D3 au D2 ili kuLimit speed (kwa kutumia Engine Braking) na kuepusha brake pads kuOver Heat na kuisha ovyo.
 
Shukrani mkuu,sasa hizo gear za manual huwa wanaziweka za nini?
 
Back
Top Bottom