Wakuu ushauri wenu ni muhimu, nimefilisika


Inasikitishaa .. nimecheka kama mazuri
 
Kule Swea kuna rafiki yangu akinishawishi sana khs hio bizness yeye anaishi huko Luchelele ila nilijivuta vuta sana ku-fanya p/ship nae,hayo mambo ya Mpina ndio yalivuruga kila kitu,mshkaji ilibidi aliende visiwani huko kuendeleza mishe hizo ila naona bado mambo yake hayako njema.
 
Dah! Kumbe na penyewe unapajua? Utakua ulisoma SAUT, huko kumenitafunia pesa hatari, nilienda mpaka visiwani sengerema kule kupiga hizo mishe, nimekaa sana pale mwaloni kirumba nilikua nasafirisha dagaa mpaka Iringa Dodoma ila hii paranja ya mpina ndio imenifilisi kabisa sababu unakamatwa mzigo wa million 3 leo, kesho million 2 hivyo hivyo mpaka unabaki empty

Wengi wamefilisika, wengine wamepoteza maisha, wengine wanasota magerezani, yaani watu kama wakina njiwa pori na wenyewe waleguswa.
 
Daah pole sana mkuu,naona mapambano yako kwny hio sector hayakua ya mchezo.Kuna mshkaji wangu ye alikua anatoa samaki pande hizo anapeleka Mwanza naona jamaa walimfirisi mtaji wake na alikua ndo ameoa imebidi atelekeze familia akimbilie Congo huko kutafuta maishsma.So sad

Kumbe mpk njiwa pori aliliwa kichwa?aisee hapo si mchezo mkuu.

Hapana sikusoma SAUT ila niliwahi fanya kazi Mwanza so katika harakati za hapa na pale ndo nikakutana na huyo mdau.

 
...mkuu ukiinuka tena vizur epuka sana kununua vtu vya luxury kama gari hali ya kuwa upo ktk hali ya kati kiuchumi,huwa vinaonekana kama asset but ni liability ambayo inakutafuna polepole...naamini moja ya chanzo chko cha kufrisika ni hlo gar lako.
 
...mkuu ukiinuka tena vizur epuka sana kununua vtu vya luxury kama gari hali ya kuwa upo ktk hali ya kati kiuchumi,huwa vinaonekana kama asset but ni liability ambayo inakutafuna polepole...naamini moja ya chanzo chko cha kufrisika ni hlo gar lako.
Muhimu ni kununua nini Mkuu?
 
Kama haya uliyoandika ni kweli basis unatakiwa kuokoka, MPE YESU MAISHA YAKO NAYE ATAKUSAIDIA.
 
Aisee
 
Punguza matumizi tu mzee. Kama ulikuwa unatumia elfu 50 kwa siku basi tumia elfu 25, kaa na mkeo mwambie hela ngumu mpunguze matumizi huku mkifanya saving. Pili usichanganye ushirikina na Mungu, kama uko kwa Mungu amini Mungu atabariki mapambano yako kama uko kwa ushirikina kaa huko. Punguza kutoa hela sana, kwa hali yako hauhitaji kumpa hela mtu wakati wewe bado una uhitaji..huo unaitwa kutaka watu wakuone kama walivyokujua zamani kwamba una maisha nn una pesa, ila ukweli wa mifuko yetu tunaijua wenywe. Mwisho katika maisha usikate tamaa, anguka mara 5 amka mara 5 zaidi ukiwa na NGUVU
 
Unashangaa nini mbona sisi mzee wetu alikua akimiliki mpaka sheli na gereji miaka ya 90,Hajakaa vizuri akala mzinga na gari yake kwa mawazo,,hajatulia akavamiwa na majambazi risasi 4 ziliingia mwilini mwake Mungu akasaidia yuko hai mpaka leo ila kilema hapo akazidi kufilisika. japo ana pesa tudogo za kula na kuvaa lakini sio yule waliokuwa wanamfahamu uko nyuma.
Kumiliki BMW mpaka bodaboda ni kweli? Au ndo ngano za kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…