Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Si angekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu
Na nahofia nikimuoa huyu manzi mshikaji wake si watarudiana? Maana kuchapiwa nako wazee sio poa kabisa aisee kwahiyo nawaza nimpige chini au niendelee nae? Ila sasa huyu manzi sikumtongoza alinitafuta mwenyewe? Wala sikumtafuta mimi hiki ndio kitu ambacho mimi kinanipa amani kwamba huyu manzi ananipenda Mimi aisee