Wakuu ushauri wenu

Wakuu ushauri wenu

Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Si angekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu

Na nahofia nikimuoa huyu manzi mshikaji wake si watarudiana? Maana kuchapiwa nako wazee sio poa kabisa aisee kwahiyo nawaza nimpige chini au niendelee nae? Ila sasa huyu manzi sikumtongoza alinitafuta mwenyewe? Wala sikumtafuta mimi hiki ndio kitu ambacho mimi kinanipa amani kwamba huyu manzi ananipenda Mimi aisee
Shukuru sana Mungu kakuambia ukweli na ni ujumbe pia kwamba nawe umpige miti pro max.. Ila baadhi ya wanawake😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Sasa cha ajabu kipi muhimu kitu si oinapita na sio kikavu mda wote kisije kikakabwa?
 
Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Si angekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu

Na nahofia nikimuoa huyu manzi mshikaji wake si watarudiana? Maana kuchapiwa nako wazee sio poa kabisa aisee kwahiyo nawaza nimpige chini au niendelee nae? Ila sasa huyu manzi sikumtongoza alinitafuta mwenyewe? Wala sikumtafuta mimi hiki ndio kitu ambacho mimi kinanipa amani kwamba huyu manzi ananipenda Mimi aisee
una umri wa miaka mingapi? ushauri naotaka kutoa unategea age yako
 
Umemuuliza past yake kakwambia
Halafu unajiuliza kwanini kwakwambia tena? Kumbe wanaume pia hamjui nini mnataka
Wengi hutegemea majibu haya
Sikumpenda
Hakunipenda
Alikuwa hawezi kitandani
Aliniacha na hamu zangu muda mwingi
Alikuwa mhuni sana nknk😂
 
Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Sangekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu

Na nahofia nikimuoa huyu manzi mshikaji wake si watarudiana? Maana kuchapiwa nako wazee sio poa kabisa aisee kwahiyo nawaza nimpige chini au niendelee nae? Ila sasa huyu manzi sikumtongoza alinitafuta mwenyewe? Wala sikumtafuta mimi hiki ndio kitu ambacho mimi kinanipa amani kwamba huyu manzi ananipenda Mimi aisee

The fear of unknown, kama hukumkuta na bikra hujui kama tiyari alishawahi kushiriki ngono.?

Grow up man
 
Amini usiamini, hapo n amekudanganya angekuambia ukweli wote bc muda huu ungehamishiwa Muhimbili kwa matibabu zaidi ya moyo
 
Back
Top Bottom