Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Muhimu anakupea mbususu unagegeda. Mambo ya kumpangia matumizi wakati mbususu ninyake huo ni umamaWakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Si angekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu
Na nahofia nikimuoa huyu manzi mshikaji wake si watarudiana? Maana kuchapiwa nako wazee sio poa kabisa aisee kwahiyo nawaza nimpige chini au niendelee nae? Ila sasa huyu manzi sikumtongoza alinitafuta mwenyewe? Wala sikumtafuta mimi hiki ndio kitu ambacho mimi kinanipa amani kwamba huyu manzi ananipenda Mimi aisee
Hilo sio swali la kitoto kwa enzi hizi maana wadada wanafanya mambo ya ajabu sana so bora ujue mapemaMaswali ya kitoto hayo uliyomuuliza...
Kwani wewe hujawahi kubinjuka? Tuanzie hapo kwanza...
kosa la kwanzahivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza
Dona kubinjuka ni nini..?Maswali ya kitoto hayo uliyomuuliza...
Kwani wewe hujawahi kubinjuka? Tuanzie hapo kwanza...
Kosa kubwa sana kuna kitu anakifuata kwako akishakipata umekwisha utageuka mwehu, kamsome yule MC wa kiislamu anaejifanya mchungaji wa kule fb sijui lpt sijui ipt utajifunza jambo, uke uke uke umebeba mambo mengi usiyoyaona kwa macho ndio maana unafanya kazi km kinywa chakoWala sikumtafuta mimi hiki ndio kitu ambacho mimi kinanipa amani kwamba huyu manzi ananipenda Mimi aisee
kosa la piliakanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake
Mkuu ni sahihi kumuuliza mtu past yake hata usijali, past ya mtu itakusaidia wewe kumjua vyema kikubwa uwe tayari kwa kuhadithiwa lolote na aidha kukubaliana nalo ama kutokubaliana nalo kutokana na vipimo vyako, maana usipokuwa na vipimo basi jua we ni tatizo!.Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Si angekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu
Na nahofia nikimuoa huyu manzi mshikaji wake si watarudiana? Maana kuchapiwa nako wazee sio poa kabisa aisee kwahiyo nawaza nimpige chini au niendelee nae? Ila sasa huyu manzi sikumtongoza alinitafuta mwenyewe? Wala sikumtafuta mimi hiki ndio kitu ambacho mimi kinanipa amani kwamba huyu manzi ananipenda Mimi aisee
Mbona kama ushaelewa vile🤣🤸Dona kubinjuka ni nini..?
vijana wa sikuhizi mnamisamiati mingi sana...😂
Umemuuliza past yake kakwambiaWakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Si angekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu
Na nahofia nikimuoa huyu manzi mshikaji wake si watarudiana? Maana kuchapiwa nako wazee sio poa kabisa aisee kwahiyo nawaza nimpige chini au niendelee nae? Ila sasa huyu manzi sikumtongoza alinitafuta mwenyewe? Wala sikumtafuta mimi hiki ndio kitu ambacho mimi kinanipa amani kwamba huyu manzi ananipenda Mimi aisee
kosa la tatuhuyu manzi sikumtongoza alinitafuta mwenyewe
bado sijaelewa fafanua kinagaubaga..Mbona kama ushaelewa vile🤣🤸
At least umepata new experience so next time hauwezi kurudia tena hiko ulichofanya na hiyo ndio tunaita maisha dogo.Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Si angekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu