Wakuu ushauri wenu

Shukuru sana Mungu kakuambia ukweli na ni ujumbe pia kwamba nawe umpige miti pro max.. Ila baadhi ya wanawake๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
 
Sasa cha ajabu kipi muhimu kitu si oinapita na sio kikavu mda wote kisije kikakabwa?
 
una umri wa miaka mingapi? ushauri naotaka kutoa unategea age yako
 
Umemuuliza past yake kakwambia
Halafu unajiuliza kwanini kwakwambia tena? Kumbe wanaume pia hamjui nini mnataka
Wengi hutegemea majibu haya
Sikumpenda
Hakunipenda
Alikuwa hawezi kitandani
Aliniacha na hamu zangu muda mwingi
Alikuwa mhuni sana nknk๐Ÿ˜‚
 

The fear of unknown, kama hukumkuta na bikra hujui kama tiyari alishawahi kushiriki ngono.?

Grow up man
 
Amini usiamini, hapo n amekudanganya angekuambia ukweli wote bc muda huu ungehamishiwa Muhimbili kwa matibabu zaidi ya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ