Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nirisoma magezetini kuwa mama bush alimpa salima mapesa wakati salima aripoenda USA na kuhutubia mara kidogo baada ya bush kuondoka TZ, nakumbuka watu kupondea koti lake kubwa na fur na kwamba eti mama hajui kiingereza vizuri
"nyuma ya mwanamme fisadi kuna mwanamke fisadi" mbowe akili kichwani
Asante mzee kwa taarifa!! Hata mimi niliona zile picha wakati anapresent ila nami nilikuwa na wasiwasi kama kweli kizungu kinapanda sawasawa, kumbe ni Maimuna!!!! Lakini lazima wanapoketi some of the money kiaina aina. Nafikiri kama hiyo cheque ya 200m walengwa zitawafikia 50 m zingine zitakwenda kwenye account zao!!!!