Wakuu vipi hiyo picha?

Wakuu vipi hiyo picha?

Itafika wakati tutaanza kuzunguzia vitenge na mambo yasio na msingi hapa..udaku!
 
Ndo maana watu wanaomba wote wanaotuhumiwa kuwa mafisadi waachie uongozi wa sehemu zote na wake zao waende wakapumzike wasijiusishe na siasa wanaacha image mbaya
 
nirisoma magezetini kuwa mama bush alimpa salima mapesa wakati salima aripoenda USA na kuhutubia mara kidogo baada ya bush kuondoka TZ, nakumbuka watu kupondea koti lake kubwa na fur na kwamba eti mama hajui kiingereza vizuri

Asante mzee kwa taarifa!! Hata mimi niliona zile picha wakati anapresent ila nami nilikuwa na wasiwasi kama kweli kizungu kinapanda sawasawa, kumbe ni Maimuna!!!! Lakini lazima wanapoketi some of the money kiaina aina. Nafikiri kama hiyo cheque ya 200m walengwa zitawafikia 50 m zingine zitakwenda kwenye account zao!!!!
 
sio kwamba ni maimuna, anakijua (labda alikuwa mwalimu wa english mbuyuni shule ya msingi, mimi sijui) ila watu waliponda kuwa hawezi. Mbona wachina, wajerumani, wakorea na wengine hawaprounce vizuri kiingereza na wako proud e.g Shwazniga. Cha muhimu ujumbe kufika.
 
Back
Top Bottom