Kudaaadeki zanguKuacha kazi na kwenda kujiajiri hakuna uhusiano na kiasi gani unapaswa kuwa nacho.
Bwana mdogo swala la kuacha kazi linahitaji uwe na nidhamu,uwe na Nia,uwe ujasiri,uwe fighter haswaa na uwe unaujua mtaa vizuri.
Niliacha kazi kwa kuwasoma motivational speakers bila ya kijipima uwezo wangu binafsi,wee arooo!!
Niliteseka almanusra nijiue,ila kwa sasa kidogo nachekelea kujiajiri.
NB:KAMA UNATAKA KUACHA KAZI HAKIKISHA UNAONGEZA NIDHAMU,JITIHADA,MAARIFA NA USALI SANA MAANA MTAA HAUNA HURUMA.
PIA USIACHE KAZI KISA UMEKOPA BENKI ETI PESA HIYO UJE UIFANYE KAMA MTAJI ANZIA,HAKIKISHA UNAJENGA UWEZO BINAFSI WA KUINGIZA PESA NDIO UACHE KAZI NG'OMBE WA HEAD MKUBWA
Ila pesa jamani pesaKuacha kazi na kwenda kujiajiri hakuna uhusiano na kiasi gani unapaswa kuwa nacho.
Bwana mdogo swala la kuacha kazi linahitaji uwe na nidhamu,uwe na Nia,uwe ujasiri,uwe fighter haswaa na uwe unaujua mtaa vizuri.
Niliacha kazi kwa kuwasoma motivational speakers bila ya kijipima uwezo wangu binafsi,wee arooo!!
Niliteseka almanusra nijiue,ila kwa sasa kidogo nachekelea kujiajiri.
NB:KAMA UNATAKA KUACHA KAZI HAKIKISHA UNAONGEZA NIDHAMU,JITIHADA,MAARIFA NA USALI SANA MAANA MTAA HAUNA HURUMA.
PIA USIACHE KAZI KISA UMEKOPA BENKI ETI PESA HIYO UJE UIFANYE KAMA MTAJI ANZIA,HAKIKISHA UNAJENGA UWEZO BINAFSI WA KUINGIZA PESA NDIO UACHE KAZI NG'OMBE WA HEAD MKUBWA
Bro ujasiliamali na ufanyabiashara ni mgumu.
Inahitaj years of experience to perfect and to do it safe and make profit.
Kabla ya kuacha kazi. Nashaur kwanza fikiria ujasiliamali au biashara gani unagaka kufanya . Anza mdogo mdogo. Na kwa kiwango kidogo.
Ona matokeo.
Na Ukifeli na bado moyo wa kufanya kingne ukawepo na bado moyo ukawepo baada ya kufeli tena na tena. bas jua ni kweli ww unaweza ufanyabiashara.
Otherwise. komaa na ajira tu ustaafu miaka 60.
Entrepreneurship sio kwa kila mtu. sio jambo rahisi. inatoka moyoni na uwe na uvumilivu mkubwa mno na uupende.
Kuna mtu unaona NSSF ina 100 mill unaona hii hata ukiacha kaz unaenda mtaam utatoboa.
Thubutu ππππ mwaka hauishi na hela imeisha usipokuwa makin na kujiandaa.
kama una moyo wa kufanya kaz bila kubanwa jiandae kwa kufanya kidogo kidogo kujipima ubavu.
Respect for youBro ujasiliamali na ufanyabiashara ni mgumu.

Nashukuru sanaJambo kubwa kwenye kujiajiri siyo kiasi cha mtaji ulichonacho bali ni vision na utayari ulionayo kwa ajili ya jambo unalotaka kufanya.
Kuna muda utaona kama umepoteza kila kitu lakini ndiyo muda sahihi wa kuinuka. Jiandaye kisaikolojia maana utapoteza watu wako wa karibu hivyo utajiona kama umetengwa.
Biashara izalishe mtaji yenyewe hivyo anza kidogo ulichonacho ili ukikuze na biashara kuwa kubwa.
Faida ya kupita kwenye ajira kabla ya kujiajiri ni unauwezo wa kusimamia watu.
Kujiajiri ni vizuri sana, usiogope changamoto bali ingia kwa dhamira ya kweli, hakuna mafanikio bila kuumia