Tetesi: Wakuu wa mikoa kutangazwa leo?

Tetesi: Wakuu wa mikoa kutangazwa leo?

Status
Not open for further replies.
Waziri mkuu amepata wapi mamlaka ya kikatiba kutangaza wakuu Wa mikoa?
Kamanda,kazi ya uteuzi inafanywa na rais,majaliwa anatangaza,zamani Tamisemi ilikua chini ya pm,lakini sasa ipo ikulu,ni kutumwa kazi tu na mkuu wake usiogope kamanda
 
Makonda hana mpinzani labda apingwe na CDM. He desrves to be Dsm RC. We need him greatly to creat new DSM.
 
asee nechoka sana na haya mambo mpaka saa hizi sielewi kinachoendelea kila uchao ni jambo mpya hivi wanamalizia wanachofanya ama magumash tu ?

masamaki vepee sijaskia muendelezo wa kesi yake
Naona hujipendi, endelea kuhoji kuhusu samaki
 
Mkuu wangu wa mkoa sijui kama atapona ngoja tusubirie manake alikuwa team fulan hivi.
 
we jiandae kwa yote .. linaweza tokea lolote
Kama upo kwa makonda usiwe na hofu yeye alimchapa warioba hivyo ule mkataba wake bado haujaisha anaweza kipenya awe wa mkoa kabisa
 
Nimepata taarifa kuwa Waziri Mkuu ameitisha mkutano na wanahabari saa nne asubuhi ofisini kwake Magogoni. Taarifa zinadai kuwa agenda kuu huenda ikawa ni kutangazazwa wakuu wapya wa mikoa.

Nitawapa taarifa hapa yatokanayo na mkutano huo soon ukimalizika maana simu huwa zinabaki getini.

Chukulia hii bado ni kama tetesi walau hadi sasa.

Nitawapeni taarifa hapahapa
Bingwa wa ku keep time leo kazingua?? Saa tano kasoro saa hizi, bado tuu?? Mwana Mpotevu Barbarosa
 
Mkuu Mwanampotevu, kwenye hiyo orodha mpya ya Wakuu wa Mikoa inayotangazwa leo, wachagga wapo wangapi? Tehetehetehetehe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom