Tetesi: Wakuu wa mikoa kutangazwa leo?

Tetesi: Wakuu wa mikoa kutangazwa leo?

Status
Not open for further replies.
Mzee Said Mwambungu inabidi apumzike. Uzee umemsomba kwa kasi
 
Tuna subiria kwa hamu
maana kwasasa ukisikia wito tu ujue kuna Uhondo wa Kumpata Rais wa ukweli
 
Nimepata taarifa kuwa Waziri Mkuu ameitisha mkutano na wanahabari saa nne asubuhi ofisini kwake Magogoni. Taarifa zinadai kuwa agenda kuu huenda ikawa ni kutangazazwa wakuu wapya wa mikoa.

Nitawapa taarifa hapa yatokanayo na mkutano huo soon ukimalizika maana simu huwa zinabaki getini.

Chukulia hii bado ni kama tetesi walau hadi sasa.

Nitawapeni taarifa hapahapa
Hii ndio raha moja wapo ya JF. Unapata vitu hot wakati wengine wanavipata baada ya siku 3. Loading......................
 
Wakimuacha Lizaboni ,tena anatakiwa akaoge maji ya bahar....kwikwi...
 
Yeah lazima uwe Na ham kazi unayoifanya sio ndogo, waweza kuwa mmoja wao, usiache kuomba
Kuomba kwa nani? Labda kwa shetani! Kama ni kwa Mungu huyo jamaa alishajiondolea sifa hiyo kwani Mungu hasikilizi sala za waongo,wazushi na wazandiki. Na huyo jamaa sifa zote hizo anazo tena kwa kiwango cha lami.
 
Mungu wao ni yule fisi walokuwa wakizunguka nae wakati wa kuimarisha chama,
 
Nimepata taarifa kuwa Waziri Mkuu ameitisha mkutano na wanahabari saa nne asubuhi ofisini kwake Magogoni. Taarifa zinadai kuwa agenda kuu huenda ikawa ni kutangazazwa wakuu wapya wa mikoa.

Nitawapa taarifa hapa yatokanayo na mkutano huo soon ukimalizika maana simu huwa zinabaki getini.

Chukulia hii bado ni kama tetesi walau hadi sasa.

Nitawapeni taarifa hapahapa
Namuona Makonda akirithi kiti cha Meck Sadiq
 
Nimepata taarifa kuwa Waziri Mkuu ameitisha mkutano na wanahabari saa nne asubuhi ofisini kwake Magogoni. Taarifa zinadai kuwa agenda kuu huenda ikawa ni kutangazazwa wakuu wapya wa mikoa.

Nitawapa taarifa hapa yatokanayo na mkutano huo soon ukimalizika maana simu huwa zinabaki getini.

Chukulia hii bado ni kama tetesi walau hadi sasa.

Nitawapeni taarifa hapahapa
Kama kaka Manyerere Jackton hajasema kitu hadi sasa au Uncle Pasco hajaweka mbwembwe basi hakuna ukweli kwny hii habari
 
Wasimsahau harakaharaka nae alikijenga sana chama na yule wa itv kipindi cha kampeni jaman!! Daah watu wananhangaika sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom