Tetesi: Wakuu wa mikoa kutangazwa leo?

Status
Not open for further replies.
Unawahurumia wa nini hao makada wa chama!
Wengine hawana sifa Bali walipewa fadhila!
Acha nao wakalime mananasi kama aliyekuwa boss wao
Mkuu si wengine hao ndio tunawategemeaa
 
Waziri mkuu amepata wapi mamlaka ya kikatiba kutangaza wakuu Wa mikoa?
Kamanda,kazi ya uteuzi inafanywa na rais,majaliwa anatangaza,zamani Tamisemi ilikua chini ya pm,lakini sasa ipo ikulu,ni kutumwa kazi tu na mkuu wake usiogope kamanda
 
Makonda hana mpinzani labda apingwe na CDM. He desrves to be Dsm RC. We need him greatly to creat new DSM.
 
asee nechoka sana na haya mambo mpaka saa hizi sielewi kinachoendelea kila uchao ni jambo mpya hivi wanamalizia wanachofanya ama magumash tu ?

masamaki vepee sijaskia muendelezo wa kesi yake
Naona hujipendi, endelea kuhoji kuhusu samaki
 
Mkuu wangu wa mkoa sijui kama atapona ngoja tusubirie manake alikuwa team fulan hivi.
 
we jiandae kwa yote .. linaweza tokea lolote
Kama upo kwa makonda usiwe na hofu yeye alimchapa warioba hivyo ule mkataba wake bado haujaisha anaweza kipenya awe wa mkoa kabisa
 
Bingwa wa ku keep time leo kazingua?? Saa tano kasoro saa hizi, bado tuu?? Mwana Mpotevu Barbarosa
 
Ninazo taarifa kwamba Magesa Mlongo alikuwa anahaha kwa kumtumia JK. na Mwenyekiti wa CCM Wa mkoa wake ili wamuombee kwa Magufuli ili ambakize kwenye nafasi ya Mkuu wa mkoa.
Tumemtupa nje fasta
 
Mkuu Mwanampotevu, kwenye hiyo orodha mpya ya Wakuu wa Mikoa inayotangazwa leo, wachagga wapo wangapi? Tehetehetehetehe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…