Nsaji Mpoki
JF-Expert Member
- Nov 5, 2007
- 396
- 68
Wa Kilimanjaro Mohamed Babu ameenda wapi??? Au ndo ameenda Tanga??? Mmmh Huyo Dr.Ishengoma Mmmmh Mtanambia...
Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa mikoa. Dr. Ishengoma from pwani to ruvuma, hajjat amina said iringa to pwani, mr. Abdulazizi from tanga to iringa, monica mbega ruvuma to kilimanjaro.
Nadhani monica wameamua kumuua kisiasa kabisa kwani sasa hataweza kutembelea jimbo lake la uchaguzi la iringa mjini mara kwa mara. Vinginevyo awe na ubavu wa kuchota fedha za wananchi wa kilimanjaro kwa ajili ya siasa.
Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.
Namjua huyo mama in personal ni mchemfu haswa....hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji....
Walioachwa niakina nani,tumegee tafadhali.Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa mikoa. Dr. Ishengoma from pwani to ruvuma, hajjat amina said iringa to pwani, mr. Abdulazizi from tanga to iringa, monica mbega ruvuma to kilimanjaro.
Nadhani monica wameamua kumuua kisiasa kabisa kwani sasa hataweza kutembelea jimbo lake la uchaguzi la iringa mjini mara kwa mara. Vinginevyo awe na ubavu wa kuchota fedha za wananchi wa kilimanjaro kwa ajili ya siasa.
Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.
Mkuu Masa,
Kwa Tanzania wasiofaa ndio wana-win. Hebu chungulia chungulia hapa mjini Bongo uone. Wale vilaza wengi wa class ndo wanatesa mtaani na vitu vya nguvu. Nahisi inatokana na ugumu wa viongozi wetu kudeal na vichwa!
Ole Kone amebaki Singida au amehamishwa,hii nisawa na kubadilisha rangi ya sahani wakati wali ni ule ule,yetu macho 2010 yaja tufanye maamuzi.Kwani wengine wameanza kutangaza kuokoka,kumbe pa kujifichia siku hizi ni ulokole,kweli dini kwa sasa ni biashara hata RC(Katoliki)chini ya Pengo nayo yaanza kulewa wafuasi kwa kuwapeleka watakako kwa imani inayoelekea kuwa na vionjo vya kisiasa.Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa mikoa. Dr. Ishengoma from pwani to ruvuma, hajjat amina said iringa to pwani, mr. Abdulazizi from tanga to iringa, monica mbega ruvuma to kilimanjaro.
Nadhani monica wameamua kumuua kisiasa kabisa kwani sasa hataweza kutembelea jimbo lake la uchaguzi la iringa mjini mara kwa mara. Vinginevyo awe na ubavu wa kuchota fedha za wananchi wa kilimanjaro kwa ajili ya siasa.
Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.
Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.[/QUOTE]
Personally I'm very concerned with this........! au huyu jamaa anataka kugeuza huko IR kichwa cha mwendawazimu, ambapo kila kilaza hujifunzia huko siasa + Ufisadi? Reshuffle za namna hii sidhani kama zinamaslahi kwa mkoa huo na taifa kwa ujumla.....!
Mzee nakubaliana sana na wewe .....unajua story ya huyo mama eeehh ana GPA ya 2.1 undergarduate leo ana PhD na mkuu wa mkoa...nilijalikuwa kuwa kilaza ili niwin, mhhh gharama yake ni kubwa...
Naam!, Na imeanza kuchosha kabla haijapakuliwahii habari haijakamilika
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya bado hajahamishwa???
kama kawaida, jamaa anapangua wakati anakimbia nchi, katoa list akakimbia zake uarabuni,
hivi huyo mama amina said si ndo alichemka pale nbs na kushindwa kutufanyia sensa iliyopita? sasa alishindwa pale nbs kapewa mkoa, huko iringa kuna chochote alifanya cha maana?
huyo mzee wa kupangua aliona kuwa kilimanjaro wanawapenda wanawake nini? kwani wanasema hilda ngoye alifanya vizuri pale ndo maana kampeleka monica mbega pale???
abdul aziz pale tanga jamani kama kuna anayejua kizuri cha maana alichofanya naomba msaada wa maelezo.