Wakuu wa mikoa wapanguliwa

Wakuu wa mikoa wapanguliwa

Nsaji Mpoki

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
396
Reaction score
68
Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa mikoa. Dr. Ishengoma from pwani to ruvuma, hajjat amina said iringa to pwani, mr. Abdulazizi from tanga to iringa, monica mbega ruvuma to kilimanjaro.

Nadhani monica wameamua kumuua kisiasa kabisa kwani sasa hataweza kutembelea jimbo lake la uchaguzi la iringa mjini mara kwa mara. Vinginevyo awe na ubavu wa kuchota fedha za wananchi wa kilimanjaro kwa ajili ya siasa.

Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.
 
Mimi nilidhani wale vilaza wote wanapigwa chini kumbe ni mchezo ule wa ku-recycle!! Yetu macho
 
Wa Kilimanjaro Mohamed Babu ameenda wapi??? Au ndo ameenda Tanga??? Mmmh Huyo Dr.Ishengoma Mmmmh Mtanambia...
 
Maana ya hii panga pangua katika saa za majeruhi manayake nini? Raisi lengo lako ni nini? Utendaji utabadilika ama?
 
Rais JK Kwa mara nyingine baada ya kufanya mabadiliko ya ma-DC,LEO Jjioni anatarajiwa kutangaza mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa,habari za uhakika nalizonazo walioguswa na mabadiliko hayo ni,kandoro(dar) anaenda mwanza,lukuvi(dodoma) anakuja dar
 
Amepangua tena? Huyu Mkulu naona uongozi ameshindwa anacheza mchezo wa marede!
 
Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa mikoa. Dr. Ishengoma from pwani to ruvuma, hajjat amina said iringa to pwani, mr. Abdulazizi from tanga to iringa, monica mbega ruvuma to kilimanjaro.

Nadhani monica wameamua kumuua kisiasa kabisa kwani sasa hataweza kutembelea jimbo lake la uchaguzi la iringa mjini mara kwa mara. Vinginevyo awe na ubavu wa kuchota fedha za wananchi wa kilimanjaro kwa ajili ya siasa.

Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.

Tunaomba full list....
 
Namjua huyo mama in personal ni mchemfu haswa....hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji....

Mkuu Masa,

Kwa Tanzania wasiofaa ndio wana-win. Hebu chungulia chungulia hapa mjini Bongo uone. Wale vilaza wengi wa class ndo wanatesa mtaani na vitu vya nguvu. Nahisi inatokana na ugumu wa viongozi wetu kudeal na vichwa!
 
Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa mikoa. Dr. Ishengoma from pwani to ruvuma, hajjat amina said iringa to pwani, mr. Abdulazizi from tanga to iringa, monica mbega ruvuma to kilimanjaro.

Nadhani monica wameamua kumuua kisiasa kabisa kwani sasa hataweza kutembelea jimbo lake la uchaguzi la iringa mjini mara kwa mara. Vinginevyo awe na ubavu wa kuchota fedha za wananchi wa kilimanjaro kwa ajili ya siasa.

Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.
Walioachwa niakina nani,tumegee tafadhali.
 
Mkuu Masa,

Kwa Tanzania wasiofaa ndio wana-win. Hebu chungulia chungulia hapa mjini Bongo uone. Wale vilaza wengi wa class ndo wanatesa mtaani na vitu vya nguvu. Nahisi inatokana na ugumu wa viongozi wetu kudeal na vichwa!

Mzee nakubaliana sana na wewe .....unajua story ya huyo mama eeehh ana GPA ya 2.1 undergarduate leo ana PhD na mkuu wa mkoa...nilijalikuwa kuwa kilaza ili niwin, mhhh gharama yake ni kubwa...
 
Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa mikoa. Dr. Ishengoma from pwani to ruvuma, hajjat amina said iringa to pwani, mr. Abdulazizi from tanga to iringa, monica mbega ruvuma to kilimanjaro.

Nadhani monica wameamua kumuua kisiasa kabisa kwani sasa hataweza kutembelea jimbo lake la uchaguzi la iringa mjini mara kwa mara. Vinginevyo awe na ubavu wa kuchota fedha za wananchi wa kilimanjaro kwa ajili ya siasa.

Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.
Ole Kone amebaki Singida au amehamishwa,hii nisawa na kubadilisha rangi ya sahani wakati wali ni ule ule,yetu macho 2010 yaja tufanye maamuzi.Kwani wengine wameanza kutangaza kuokoka,kumbe pa kujifichia siku hizi ni ulokole,kweli dini kwa sasa ni biashara hata RC(Katoliki)chini ya Pengo nayo yaanza kulewa wafuasi kwa kuwapeleka watakako kwa imani inayoelekea kuwa na vionjo vya kisiasa.
 
Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.[/QUOTE]

Personally I'm very concerned with this........! au huyu jamaa anataka kugeuza huko IR kichwa cha mwendawazimu, ambapo kila kilaza hujifunzia huko siasa + Ufisadi? Reshuffle za namna hii sidhani kama zinamaslahi kwa mkoa huo na taifa kwa ujumla.....!
 
Mzee nakubaliana sana na wewe .....unajua story ya huyo mama eeehh ana GPA ya 2.1 undergarduate leo ana PhD na mkuu wa mkoa...nilijalikuwa kuwa kilaza ili niwin, mhhh gharama yake ni kubwa...

Jamani tupeni full list.... Dar, Pwani, Moro, Tabora, Mwanza, Tanga, Iringa, Ruvuma, Kilimanjaro, Dodoma na Kagera zote zimepata transfer, nani analist yake?

Najua Lukuvi kaja Dar Kukamilisha agenda husika... sikitiko!!!
 
kama kawaida, jamaa anapangua wakati anakimbia nchi, katoa list akakimbia zake uarabuni,

hivi huyo mama amina said si ndo alichemka pale nbs na kushindwa kutufanyia sensa iliyopita? sasa alishindwa pale nbs kapewa mkoa, huko iringa kuna chochote alifanya cha maana?

huyo mzee wa kupangua aliona kuwa kilimanjaro wanawapenda wanawake nini? kwani wanasema hilda ngoye alifanya vizuri pale ndo maana kampeleka monica mbega pale???

abdul aziz pale tanga jamani kama kuna anayejua kizuri cha maana alichofanya naomba msaada wa maelezo.
 
Ameacha nyumba ndogo ya nguvu mkuu! Ameiweka kiasi kwamba anashindana na mkuu wa wilaya ambaye naye anayo jirani na RC. Kazi kweli kweli

Mji wa giza.
 
Back
Top Bottom