Nsaji Mpoki
JF-Expert Member
- Nov 5, 2007
- 396
- 68
Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa mikoa. Dr. Ishengoma from pwani to ruvuma, hajjat amina said iringa to pwani, mr. Abdulazizi from tanga to iringa, monica mbega ruvuma to kilimanjaro.
Nadhani monica wameamua kumuua kisiasa kabisa kwani sasa hataweza kutembelea jimbo lake la uchaguzi la iringa mjini mara kwa mara. Vinginevyo awe na ubavu wa kuchota fedha za wananchi wa kilimanjaro kwa ajili ya siasa.
Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.