Wakuu wa Mikoa wengi wamejaa woga

Mfumo wa kuteua na kuajirii ni mbovu

lawma zote kwako usiyetaka mabadiliko ya katiba ili tupunguze au tuondoe mamlaka ya uteuzi kwa mtu mmoja

Kwa katiba hii Nini kinamxuia raisi asiteue shemeji, wifi au rafiki kuwa mkuuwa mkoa

Wanasema hata yule wa Arusha ni mmm.. wa mwenyekiti
 
Katiba imefanyaje hapo kwenye uzembe hata ikija katiba mpya watumishi kama ni wazembe hiyo katiba yako itabaki hivyo hivyo imefunikwa tu huko kwa wachochea katiba watu wanahongwa makreti 4 ya chimpumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…