kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Hiyo vita ya uenyekiti na rushwa haijaanza leo chadema!Kwanini sasa mlitaka kumuua?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo vita ya uenyekiti na rushwa haijaanza leo chadema!Kwanini sasa mlitaka kumuua?!
Shame on you!Hiyo vita ya uenyekiti na rushwa haijaanza leo chadema!
Mfumo wa kuteua na kuajirii ni mbovuWatumishi wengi wa umma ni watu waliojariwa kwa vimemo wengine ni mahawara wa viongozi ,watoto wa viongozi, wapwa wa viongozi ,watoto wa mahawara wa viongozi, mashemeji ,wajukuu na marafiki .
Hii imepelekea wengi wa wateuliwa kufanya kazi kwa wasiwasi na woga wa kuharibu, kuogopa kuwagusa hao(untouchable) watumishi wezi watoto wa masulutan.
Ndio maana jitu linaiba linaandikiwa barua lijieleze lilikwapuaje hizo pesa na bado kakalia kiti!
Ni woga tu wa wateule fanyeni kazi lawama zitawakuta wakati mmeshafyeka wezi majizi na wabadhirifu wa maendeleo , wao wanajipigia lawama kwa wateuliwa wanaonekana hawafanyi kitu ni vizuri sana bwana Makonda kaligundua hilo anawatandika round kick tu na mitama ya shingo pigeni kelele mpaka kwa wizi hauonekani!
Hata ukiliwa kichwa kwa muda mchache umewahenyesha na wamenyooka na kujikojolea!
Katiba imefanyaje hapo kwenye uzembe hata ikija katiba mpya watumishi kama ni wazembe hiyo katiba yako itabaki hivyo hivyo imefunikwa tu huko kwa wachochea katiba watu wanahongwa makreti 4 ya chimpumu!Mfumo wa kuteua na kuajirii ni mbovu
lawma zote kwako usiyetaka mabadiliko ya katiba ili tupunguze au tuondoe mamlaka ya uteuzi kwa mtu mmoja
Kwa katiba hii Nini kinamxuia raisi asiteue shemeji, wifi au rafiki kuwa mkuuwa mkoa
Wanasema hata yule wa Arusha ni mmm.. wa mwenyekiti