Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki Wanakutana Arusha Katika Mkutano Unaojadili Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Chakula

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana Jijini Arusha hivi punde katika mkutano Mkuu unaojadili mabadiliko ya tabia ya Nchi na Chakula.

--
Rais Samia azungumzia baadhi ya vipaumbele vya Tanzania aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili Masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Mkoani Arusha

EAC.jpg
 
Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana Jijini Arusha hivi punde katika mkutano Mkuu unaojadili mabadiliko ya tabia ya Nchi na Chakula.
Je wana any means ya ku control hiyo tabia nchi? Au wamekutana kuupiga mdomo tu, nimesikia Somalia nao wametuma maombi wanataka kujumuika
 
We unaonaje?
 
Back
Top Bottom