Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na wakurugenzi matumbo joto

Kijana ushe2

Senior Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
179
Reaction score
127
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
 
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya.. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
wewe ni mtu mwenye choyo, maono mafupi na akili mbovu
 
USHAURI;
1. Serikali ingewatumia vizuri Hawa wahitimu wa shahada za utawala wa umma- HRM, LGM, PSM pia kuwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi,na Makatibu tawala wilaya na mikoa pia. Hawa wameandaliwa vema na wamepikwa vizuri kuliko taaluma nyinginezo.
2. Mapendekezo ya kuwapata wakuu Hawa yatolewe kutoka kila wilaya kwa Siri kupitia vyombo ambapo wataweza kuwaibua huko na kuendelea na taratibu nyinginezo.
3. Ikiipendeza serikali, wakuu Hawa wa wilaya, wakurugenzi,MaDas, wakuu wa mikoa wateuliwe kwa uwiano wa mikoa na wilaya zao wanakotoka kiidadi.
4. Mapendekezo yaanzie wikayani kwenda taifani.
5. Kila kundi litoemapendekezo ya majina ya watu wanaoweza kuwa na sifa hizo kwa Siri.
 
Wasubiri teuzi na waljomo matumbo moto moto....teuzi za radioni noma sana....
 
wakati wa Sokoine pale RTD kulikuwa na kipindi kinaitwa Mikingano kilickuwa kinaongozwa na Paul Sozigwa!
Sasa vita imetangazwaaaa jaamaaa, wananchi wote tuwe imaraaaa!!! Vijijini na mijini hatutasita kuwafichua wahujumu na walanguziiiiii!!!!

Tulululuu tulululu luliluliluuuuuu!!!!
====
Mida ya usiku, "prime time"
 
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya.. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
Mafungu hayaja toka.
Wana malizia viporo
Bajeti ya kwanza ya Mama ita kutana na safu mpya
 
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya.. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
We ni mwanasiasa?
Bila facts ni mwanasiasa uchwara,
Lete facts.......
 
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya.. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
1. RC Njombe out
2. RC Geita out
3. RC mwanza transfer to Katavi
4. RC kilimanjaro stay
5. RC mbeya out
6. RC Dar Stay
7. DC Hai Transfer to Kankoko DC
8. DC Geita out
9. DC kahama transfer to biharamulo
10. DC siha out
11. DC simanjiro out
12. DC same out
13. DC chato transfer to Hai
14. DED Bahi out
15. DED same out
16. DED Ngorongoro out
17. DED kahama out
18. DED chunya out
19. DED ikungi out
20. DED tarime out
21. DED Serengeti out
22. DED tanga mjini out
23. DED bukombe out
24. DED chato transfer
25. DED kibaha stay
26. .......
 
Mpaka watakapobadili mfumo wa kuwapata hao watu .

Hata mama aliposema atateua yeyote bila kujali tofauti ni sawa lakini atawezaje kuwafikia waTZ wote wakawa na fursa ?

Mifumo hiyo ya uteuzi ataishia kuteua anaowajua na wale wanaoweza kurobi kupitia wasaidizi wa Rais tu .

Wale wananchi wasiojulikana na Rais au wasadizi wake wao watapataje hizo fursa za kutumikia Taifa Lao?

Hamuoni mifumo ya sasa inanyima haki wengine wale wasiojulikana kwa Rais na wasaidizi wake? Au wapambe wake?

Naomba kutoa hoja!
 
1. RC Njombe out
2. RC Geita out
3. RC mwanza transfer to Katavi
4. RC kilimanjaro stay
5. RC mbeya out
6. RC Dar Stay
7. DC Hai Transfer to Kankoko DC
8. DC Geita out
9. DC kahama transfer to biharamulo
10. DC siha out
11. DC simanjiro out
12. DC same out
13. DC chato transfer to Hai
14. DED Bahi out
15. DED same out
16. DED Ngorongoro out
17. DED kahama out
18. DED chunya out
19. DED ikungi out
20. DED tarime out
21. DED Serengeti out
22. DED tanga mjini out
23. DED bukombe out
24. DED chato transfer
25. DED kibaha stay
26. .......
26. DC mbongwe out
27. DED mbongwe out
28. Afisaelimu sekondari mbongwe out
29. Afisaelimu sekondari moshi manispaa out
30. Afisaelimu mkoa wa mara out
31. Maafisaelimu elimu sekondari na msingi Geita TC, meru, Geita vijijini, kahama, bukombe na chato out
32. Afisaelimu msingi moshi manispaa
33. Daktari mkuu wa wilaya ya bukombe,Hai , kilosa, Bahi, tarime,chunya, babati mji na arusha mjini out
 
1. RC Njombe out
2. RC Geita out
3. RC mwanza transfer to Katavi
4. RC kilimanjaro stay
5. RC mbeya out
6. RC Dar Stay
7. DC Hai Transfer to Kankoko DC
8. DC Geita out
9. DC kahama transfer to biharamulo
10. DC siha out
11. DC simanjiro out
12. DC same out
13. DC chato transfer to Hai
14. DED Bahi out
15. DED same out
16. DED Ngorongoro out
17. DED kahama out
18. DED chunya out
19. DED ikungi out
20. DED tarime out
21. DED Serengeti out
22. DED tanga mjini out
23. DED bukombe out
24. DED chato transfer
25. DED kibaha stay
26. .......
Rc Mara Bashite inn!!
 
Hao watu nilitamani sana kama mama Samia Hassan Suluhu angetengua wote kisha akateua wakwake wapya ili heshima iwepo. Watu walioteukiwa na marehemu hawana uwezo mzuri kiakili kwakuwa kuna connection ya kiroho kati yao na tingatinga kuwa ndio aliowapa kula.
 
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali

Mkuu naomba Nieleweshwe...
Siku za Hivi Karibuni Ukurugenzi...Sio wa Taasisi huu wa Halmashauri/Manispaa ni wa Kisiasa Sio wa Kitaalam!
Ingawa wanasimamia Miradi Mingi na Fedha ila Wengi ni Wanasiasa/Wakada mwisho wa Siku Utendaji unakuwa Kisiasa
Nashangaa watu wanashadadia hizi nafasi za za Kisiasa...
Nilidhani Nafasi Muhimu ni Zile za awali
Makatibu wakuu,,,Makatibu wasaudizi,Wakurugenzi wa Taasisi!
Lakini hizi zilizobaki ni Political Posts tuu!
Mtaalam either wa fedha,Uchumi,Miundombinu,Mhandisi,hawezi fanya lolote zuri zaidi ya Lawama!
Ni Nafasi kwa Wanasiasa,Au ni Mfumo sijui??
Kujadili ni Kupanua Mawazo Karibu!
 
N
USHAURI;
1. Serikali ingewatumia vizuri Hawa wahitimu wa shahada za utawala wa umma- HRM, LGM, PSM pia kuwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi,na Makatibu tawala wilaya na mikoa pia. Hawa wameandaliwa vema na wamepikwa vizuri kuliko taaluma nyinginezo.
2. Mapendekezo ya kuwapata wakuu Hawa yatolewe kutoka kila wilaya kwa Siri kupitia vyombo ambapo wataweza kuwaibua huko na kuendelea na taratibu nyinginezo.
3. Ikiipendeza serikali, wakuu Hawa wa wilaya, wakurugenzi,MaDas, wakuu wa mikoa wateuliwe kwa uwiano wa mikoa na wilaya zao wanakotoka kiidadi.
4. Mapendekezo yaanzie wikayani kwenda taifani.
5. Kila kundi litoemapendekezo ya majina ya watu wanaoweza kuwa na sifa hizo kwa Siri.
naunga mkono.hoja
 
Kwa hiyo unafikiri mangwini pekee ndo mnaweza kuwa viongozi? nyie fanyeni kazi zenu za utumishi za kushughulikia maslahi. Kwa sasa scientists wameshtuka wanataka washike usukani wenyewe....wamegundua ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
Back
Top Bottom