Mkuu naomba Nieleweshwe...
Siku za Hivi Karibuni Ukurugenzi...Sio wa Taasisi huu wa Halmashauri/Manispaa ni wa Kisiasa Sio wa Kitaalam!
Ingawa wanasimamia Miradi Mingi na Fedha ila Wengi ni Wanasiasa/Wakada mwisho wa Siku Utendaji unakuwa Kisiasa
Nashangaa watu wanashadadia hizi nafasi za za Kisiasa...
Nilidhani Nafasi Muhimu ni Zile za awali
Makatibu wakuu,,,Makatibu wasaudizi,Wakurugenzi wa Taasisi!
Lakini hizi zilizobaki ni Political Posts tuu!
Mtaalam either wa fedha,Uchumi,Miundombinu,Mhandisi,hawezi fanya lolote zuri zaidi ya Lawama!
Ni Nafasi kwa Wanasiasa,Au ni Mfumo sijui??
Kujadili ni Kupanua Mawazo Karibu!