Kijana ushe2
Senior Member
- Apr 6, 2017
- 179
- 127
wakati wa Sokoine pale RTD kulikuwa na kipindi kinaitwa Mikingano kilickuwa kinaongozwa na Paul Sozigwa!uzi already
wewe ni mtu mwenye choyo, maono mafupi na akili mbovuNdugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya.. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
Sasa vita imetangazwaaaa jaamaaa, wananchi wote tuwe imaraaaa!!! Vijijini na mijini hatutasita kuwafichua wahujumu na walanguziiiiii!!!!wakati wa Sokoine pale RTD kulikuwa na kipindi kinaitwa Mikingano kilickuwa kinaongozwa na Paul Sozigwa!
Mafungu hayaja toka.Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya.. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
We ni mwanasiasa?Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya.. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
1. RC Njombe outNdugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya.. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
26. DC mbongwe out1. RC Njombe out
2. RC Geita out
3. RC mwanza transfer to Katavi
4. RC kilimanjaro stay
5. RC mbeya out
6. RC Dar Stay
7. DC Hai Transfer to Kankoko DC
8. DC Geita out
9. DC kahama transfer to biharamulo
10. DC siha out
11. DC simanjiro out
12. DC same out
13. DC chato transfer to Hai
14. DED Bahi out
15. DED same out
16. DED Ngorongoro out
17. DED kahama out
18. DED chunya out
19. DED ikungi out
20. DED tarime out
21. DED Serengeti out
22. DED tanga mjini out
23. DED bukombe out
24. DED chato transfer
25. DED kibaha stay
26. .......
Massive ngoja tupiteHaya ngoja tusubiri
Rc Mara Bashite inn!!1. RC Njombe out
2. RC Geita out
3. RC mwanza transfer to Katavi
4. RC kilimanjaro stay
5. RC mbeya out
6. RC Dar Stay
7. DC Hai Transfer to Kankoko DC
8. DC Geita out
9. DC kahama transfer to biharamulo
10. DC siha out
11. DC simanjiro out
12. DC same out
13. DC chato transfer to Hai
14. DED Bahi out
15. DED same out
16. DED Ngorongoro out
17. DED kahama out
18. DED chunya out
19. DED ikungi out
20. DED tarime out
21. DED Serengeti out
22. DED tanga mjini out
23. DED bukombe out
24. DED chato transfer
25. DED kibaha stay
26. .......
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila sehemu Ubadhirifu na ufujaji wa Mali za serikali
naunga mkono.hojaUSHAURI;
1. Serikali ingewatumia vizuri Hawa wahitimu wa shahada za utawala wa umma- HRM, LGM, PSM pia kuwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi,na Makatibu tawala wilaya na mikoa pia. Hawa wameandaliwa vema na wamepikwa vizuri kuliko taaluma nyinginezo.
2. Mapendekezo ya kuwapata wakuu Hawa yatolewe kutoka kila wilaya kwa Siri kupitia vyombo ambapo wataweza kuwaibua huko na kuendelea na taratibu nyinginezo.
3. Ikiipendeza serikali, wakuu Hawa wa wilaya, wakurugenzi,MaDas, wakuu wa mikoa wateuliwe kwa uwiano wa mikoa na wilaya zao wanakotoka kiidadi.
4. Mapendekezo yaanzie wikayani kwenda taifani.
5. Kila kundi litoemapendekezo ya majina ya watu wanaoweza kuwa na sifa hizo kwa Siri.
Kwa hiyo unafikiri mangwini pekee ndo mnaweza kuwa viongozi? nyie fanyeni kazi zenu za utumishi za kushughulikia maslahi. Kwa sasa scientists wameshtuka wanataka washike usukani wenyewe....wamegundua ukicheka na nyani utavuna mabua.USHAURI;
1. Serikali ingewatumia vizuri Hawa wahitimu wa shahada za utawala wa umma- HRM, LGM, PSM pia kuwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi,na Makatibu tawala wilaya na mikoa pia. Hawa wameandaliwa vema na wamepikwa vizuri kuliko taaluma nyinginezo.
2. Mapendekezo ya kuwapata wakuu Hawa yatolewe kutoka kila wilaya kwa Siri kupitia vyombo ambapo wataweza kuwaibua huko na kuendelea na taratibu nyinginezo.
3. Ikiipendeza serikali, wakuu Hawa wa wilaya, wakurugenzi,MaDas, wakuu wa mikoa wateuliwe kwa uwiano wa mikoa na wilaya zao wanakotoka kiidadi.
4. Mapendekezo yaanzie wikayani kwenda taifani.
5. Kila kundi litoemapendekezo ya majina ya watu wanaoweza kuwa na sifa hizo kwa Siri.