Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na wakurugenzi matumbo joto

Kwa hiyo unafikiri mangwini pekee ndo mnaweza kuwa viongozi? nyie fanyeni kazi zenu za utumishi za kushughulikia maslahi. Kwa sasa scientists wameshtuka wanataka washike usukani wenyewe....wamegundua ukicheka na nyani utavuna mabua.
Tatizo kubwa ni kuwa hao hawakuandaliwa kwa shughuli hizi. Migogoro imekuwa mingi Sana huko mawilayani na mikoani. Taaluma hizo nilizotaja hapo Zina uhusiano wa Moja kwa Moja na shughuli hizi.
 
Tatizo kubwa ni kuwa hao hawakuandaliwa kwa shughuli hizi. Migogoro imekuwa mingi Sana huko mawilayani na mikoani. Taaluma hizo nilizotaja hapo Zina uhusiano wa Moja kwa Moja na shughuli hizi.
Nafikiri serikali itoe nafasi kwa watumishi kujiendeleza kwenye mambo ya uongozi na utawala kwa kada zote, yaani kuwepo chuo cha serikali kinachotoa mafunzo kwa viongozi na watawala tarajiwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za serikali....
 
Kipo. Mzumbe University imepika, imeandaa Hawa watu vya kutosha na hawatumiki ipasavyo kutokana na mifumo ya upatikanaji wake ilivyo serikalini. Mzumbe wanapika vizuri kada zote za uongozi katika nchi.
 
RC Iringa ni jipu atolewe.
 
Namba 10 naendekeza apelekwemahakamani kabisa
 
Nimeona sehemu linatumika jina la JUMONG,hivi maana yake nini?
 
Hii hoja ni nzuri mno!!!! Kuna sehemu hawajawahi kutoa hata Das
 
Ndio imekuwa siasa baada ya kuanza kuwapatia kazi watu wasiostahili kabisa.
Hapo inabidi serikali ifanye vetting Kali bila kuathiri halmashauri zetu kwenye mambo ya kisiasa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…