Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
Fika Ubepari PC, wapo Magomeni mapipa, kuhusu location yao ukiGoogle tu Ubepari PC utawapata .
 
Nenda Kariakoo Mkabala na stendi ya mwendokasi ya Gerezani kisha piga NAMBA hiyo atakuja kukuchukua
Screenshot_20251202-142452_Contacts.jpg
.
Mwezi uliopita nimenunua kwake laptop, desktop na printa kwa bei reasonable.
 
Kuna jamaa angu yupo kariakoo.
Niza computer Accessories.
Mawasiliano yao whatsapp +255 766 373 727. Sijui ni mtaa gani
 
Laptop si kama sigara siku hz ushindani umesaidia bei kupungua we nunua kokote usituchoshe maana bei hazitofautiani sana
 
Mkuu jaribu NIPO KARUME UCHAGUE MACHINE UNAYOTAKA WEWE...

DELL, HP, LENNOVO , TOSHIBA ACER
0766779208
 
Back
Top Bottom