Wakuu wapi nitapata futari nzuri Dodoma?

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
960
Reaction score
927
Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar.

Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet wanapika vibaya kuliko mwaka jana. Sitaki kuwataja jina nikaharibu biashara yao.

Ila pia kama kuna watu wanawafahamu please wawafikishie ujumbe huenda wakajirekebisha.
 
Nunua tende na maji
 
Nenda ihumwa pale samaki samaki Kuna chakula kizuri sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…