Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Karibu sana Dodoma mkuu.Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar.
Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet wanapika vibaya kuliko mwaka jana. Sitaki kuwataja jina nikaharibu biashara yao.
Ila pia kama kuna watu wanawafahamu please wawafikishie ujumbe huenda wakajirekebisha.
Hapa sehemu za kula futari ni mbili tu.
Mwambao pamoja na Chef Asili ya pale Uhindini au tawi lao lolote.
Ila the best ni Mwambao....wale jamaa ni wachawi katika mapishi!!!
Sema uwahi kufika, unaeza jikuta umekosa futari.