Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Jela niende nimeua?we bwege punguza kula, Kuna jela nusu albino
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jela niende nimeua?we bwege punguza kula, Kuna jela nusu albino
Kweli ni nusu albino uliye fanikiwa kufika mjini, wanao enda jela ni walio ua tu🤣😂Jela niende nimeua?
TuliaKweli ni nusu albino uliye fanikiwa kufika mjini, wanao enda jela ni walio ua tu🤣😂
Oya njoo pm boya wee.Tulia
Hakuna pa kuwazidi Chief Asili, wapo hapo town karibu na Nyerere square.Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar.
Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet wanapika vibaya kuliko mwaka jana. Sitaki kuwataja jina nikaharibu biashara yao.
Ila pia kama kuna watu wanawafahamu please wawafikishie ujumbe huenda wakajirekebisha.
Swali halijaeleweka au?.Sasa si upike mwenyewe mkuu
Hawa wana ftari kweli?Royal oven -sabasaba
Watu wengi wa class yangu huwa wanaenda hapo nilipopaeleza ila wanaanza kuvurunda. They were far better than chef asili au mwambaoHakuna pa kuwazidi Chief Asili, wapo hapo town karibu na Nyerere square.
Nenda hapo ukaone thamani ya pesa yako.
Nielekeze mkuuMkuu Nenda mjini apo kwa Mama Kifusi
Kipindi cha Ramadan kama hivi huwa inakuwepoHawa wana ftari kweli?
Kuna nini hukoOya njoo pm boya wee.
Sawa nitapita ahsante kwa taarifa. Wale wana quality stuffKipindi cha Ramadan kama hivi huwa inakuwepo
una maswali ya kiboya sanaKuna nini huko
Nenda kwa mama abas nyuma ya chako ni chako, uswaz ila mambo yake makubwaWanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar.
Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet wanapika vibaya kuliko mwaka jana. Sitaki kuwataja jina nikaharibu biashara yao.
Ila pia kama kuna watu wanawafahamu please wawafikishie ujumbe huenda wakajirekebisha.
Hivi kumbe hatujawai kuwasiliana pm, saaafi.una maswali ya kiboya sana
we kenge maji 🤣 🤣Hivi kumbe hatujawai kuwasiliana pm, saaafi.
na huu ndio uanaumewe kenge maji 🤣 🤣