Wakuu wapi nitapata futari nzuri Dodoma?

Wakuu wapi nitapata futari nzuri Dodoma?

Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar.

Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet wanapika vibaya kuliko mwaka jana. Sitaki kuwataja jina nikaharibu biashara yao.

Ila pia kama kuna watu wanawafahamu please wawafikishie ujumbe huenda wakajirekebisha.
Karibu sana Dodoma mkuu.
Hapa sehemu za kula futari ni mbili tu.
Mwambao pamoja na Chef Asili ya pale Uhindini au tawi lao lolote.
Ila the best ni Mwambao....wale jamaa ni wachawi katika mapishi!!!

Sema uwahi kufika, unaeza jikuta umekosa futari.
 
Ahsante sana Madame, nimekaribia.
 
Nenda mwambao hapo mbona uhakika? Ukikosa unakunja Kona hapo taste tamu unakula burger Yako tamu kabisa
 
Bei yake sasa ataweza
Bei sio shida mkuu, Chef Asili nilishapazoea sana. Nimekumbaka eneo nililokuwa ninaliongelea ni SiVi, watu wengi sana wa Dodoma wajanja wajanja huwa ninawakuta maeneo hayo...its a well known place
 
Nenda mwambao hapo mbona uhakika? Ukikosa unakunja Kona hapo taste tamu unakula burger Yako tamu kabisa
Mwambao sio kiviiile pale labda kama unataka quantity tu na sio quality....ila kwenye pilao uhakika sana hasa la kuku
 
Karibu sana Dodoma mkuu.
Hapa sehemu za kula futari ni mbili tu.
Mwambao pamoja na Chef Asili ya pale Uhindini au tawi lao lolote.
Ila the best ni Mwambao....wale jamaa ni wachawi katika mapishi!!!

Sema uwahi kufika, unaeza jikuta umekosa futari.
Leo utakuwa wapi kati ya hapo mkuu angalau tupate futari pamoja?
 
Leo utakuwa wapi kati ya hapo mkuu angalau tupate futari pamoja?
Kiukweli mie sijafunga...😔
Ila usijali, tunaweza onana baada ya futari mkuu.
Karibu sana tubadilishane mawazo.
 
Tumzingatie na Prof Janabi kwenye ulaji wa futari na kwa wakati mwingine
 
Attachments

  • VID-20250308-WA0021.mp4
    10.1 MB
Back
Top Bottom