Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Shem u hali gani? Icho kishika uchumba ndio kiasi gan maana sitaki kumpoteza my wangu.Wake zenu niwaambie kabisa waandae, ila mnipe kishika uchumba shemeji 😅
Bure alifariki zamani…
Half american
Ni hilo tu?, sita sahau kuja na wine. Ohh kumbe ni mfungo!.Wake zenu niwaambie kabisa waandae, ila mnipe kishika uchumba shemeji 😅
Bure alifariki zamani…
Half american
Afu 20 tu shemeji, namba ile ile 😂Shem u hali gani? Icho kishika uchumba ndio kiasi gan maana sitaki kumpoteza my wangu.
Wewe tena! 😅Ni hilo tu?, sita sahau kuja na wine. Ohh kumbe ni mfungo!.
au nitoe mahari kabisa!
shemela fanya ka una kohoa, nione hata Picha!Wewe tena! 😅
Kama namba ni ileile muamala utasoma 😅Afu 20 tu shemeji, namba ile ile 😂
Mkuu Wewe Hujaona Mtu Kafunga Lakini Futari Inatoka LBL,FIC,GLOBALFutari ya kutafutia JF.... Ni kama hatuko serious na swaumu zetu
Mkuu mbona nimeuliza na nimepata response nzuri tu kutoka kwa waungwana na hapa ndio nimetoka kumaliza hapa Chef Asili ipo poa kiasi na bei ipo chini ya hapo nilipokuwa ninapata. There was 20k and here its 10k ila bei haikuwa issue yangu. Issue ilikuwa ni quality of food.Futari ya kutafutia JF.... Ni kama hatuko serious na swaumu zetu
Wewe kafir unatafuta futari ya kazi gani?! Waache waislamu swafi watimize ibada yao😡😡Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar.
Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet wanapika vibaya kuliko mwaka jana. Sitaki kuwataja jina nikaharibu biashara yao.
Ila pia kama kuna watu wanawafahamu please wawafikishie ujumbe huenda wakajirekebisha.
Ninakusomea Dua ndugu yangu ili hiyo roho yako inayokusukuma kuniita kafir ipate kuswafishwa.Wewe kafir unatafuta futari ya kazi gani?! Waache waislamu swafi watimize ibada yao😡😡
Unisamehe in advance...Mkuu mbona nimeuliza na nimepata response nzuri tu kutoka kwa waungwana na hapa ndio nimetoka kumaliza hapa Chef Asili ipo poa kiasi na bei ipo chini ya hapo nilipokuwa ninapata. There was 20k and here its 10k ila bei haikuwa issue yangu. Issue ilikuwa ni quality of food.
Mkuu mwenye kuona mtu yupo serious na swaumu ama hayupo serious ni Allah pekee na wala sio mwanadamu. Judge less my brother/sister.
Ni mtizamo wako kwangu ndugu yangu kwa kuwa hunifahamu na hata kama ungekuwa unanifahamu bado usingejua yaliyo dhahiri na yasiyo dhahiri ndani ya moyo wangu. Mimi nimeshakusamehe na wala sina kinyongo.Unisamehe in advance...
Ila kiukweli sio kwako tu hata kwa wengine kina sisi tunaipa ramadhan umuhimu wa kula kuliko hata Yale tuliyoamrishwa au yaliyoletwa na ramadhan. And you seem to be loaded my brother that you could break your fast anywhere with anything you like, ila tu kitendo Cha kuuliza zaidi sehemu ya kula inaonesha namna umeacha au umepuuzia vipengele muhimu vya swaumu ila hicho Cha iftar umekipa hadhi ya juu sana.