Wakuvwanga aka Mama ima ni balaa..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Katika Ma comedian ambao wana kipaji cha kutisha, huyu jamaa ni namba moja , especially akiuvaa uhusika wa MAMA IMA, aiseh huwa navunjika mbavu kwa kweli , jamaa sijui anawazaga nini , yani hajawahi kuboa, anapatia mpaka anakera, yani alazimishi kuchekesha wala hatumii nguvu, yani ukimuona tu kabla hajafanya lolote lazima ucheke mbavu. Huyo mama Ima kama kweli yupo basi anamtendea haki sana . Yani anavyoongea , tabia, action kama mwanamke. Mungu aendelee kubariki kipaji cha huyu jamaa, maana anajua kukonga nyoyo zetu.

Joti next .




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu kama hawa unawakuta busy wanashabikia Tyler Perry akiwa kama Madea
 


Eheee, kwani siku hizi Harmonize (jamaa wa laizoni) anacheza sinema?
 
Hao ni akina nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm mama Ema ni no 1 kwangu aisee anawawakilisha wamama wa kiafrica vzr mnoo..haaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…