warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Katika Ma comedian ambao wana kipaji cha kutisha, huyu jamaa ni namba moja , especially akiuvaa uhusika wa MAMA IMA, aiseh huwa navunjika mbavu kwa kweli , jamaa sijui anawazaga nini , yani hajawahi kuboa, anapatia mpaka anakera, yani alazimishi kuchekesha wala hatumii nguvu, yani ukimuona tu kabla hajafanya lolote lazima ucheke mbavu. Huyo mama Ima kama kweli yupo basi anamtendea haki sana . Yani anavyoongea , tabia, action kama mwanamke. Mungu aendelee kubariki kipaji cha huyu jamaa, maana anajua kukonga nyoyo zetu.
Joti next .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Joti next .
Sent from my iPhone using JamiiForums