Wakuvwanga aka Mama ima ni balaa..

Wakuvwanga aka Mama ima ni balaa..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Katika Ma comedian ambao wana kipaji cha kutisha, huyu jamaa ni namba moja , especially akiuvaa uhusika wa MAMA IMA, aiseh huwa navunjika mbavu kwa kweli , jamaa sijui anawazaga nini , yani hajawahi kuboa, anapatia mpaka anakera, yani alazimishi kuchekesha wala hatumii nguvu, yani ukimuona tu kabla hajafanya lolote lazima ucheke mbavu. Huyo mama Ima kama kweli yupo basi anamtendea haki sana . Yani anavyoongea , tabia, action kama mwanamke. Mungu aendelee kubariki kipaji cha huyu jamaa, maana anajua kukonga nyoyo zetu.

Joti next .

f4f3d978300436971ec6144c30ecf7dc.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siyo kweli Magay hawavai magauni wala nguo za kike. Labda Machoko ya Bongo na Mombasa. Elton John, Tim Cook na Anderson Cooper magay maarufu utawatambua kama siyo kujitangaza? Wanatinga kiume kabisa kama wa baba rijali. Waache hawa wanafanya tu sanaa.
Watu kama hawa unawakuta busy wanashabikia Tyler Perry akiwa kama Madea
 
Katika Ma comedian ambao wana kipaji cha kutisha, huyu jamaa ni namba moja , especially akiuvaa uhusika wa MAMA IMA, aiseh huwa navunjika mbavu kwa kweli , jamaa sijui anawazaga nini , yani hajawahi kuboa, anapatia mpaka anakera, yani alazimishi kuchekesha wala hatumii nguvu, yani ukimuona tu kabla hajafanya lolote lazima ucheke mbavu. Huyo mama Ima kama kweli yupo basi anamtendea haki sana . Yani anavyoongea , tabia, action kama mwanamke. Mungu aendelee kubariki kipaji cha huyu jamaa, maana anajua kukonga nyoyo zetu.

Joti next .

f4f3d978300436971ec6144c30ecf7dc.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums

Eheee, kwani siku hizi Harmonize (jamaa wa laizoni) anacheza sinema?
 
Katika Ma comedian ambao wana kipaji cha kutisha, huyu jamaa ni namba moja , especially akiuvaa uhusika wa MAMA IMA, aiseh huwa navunjika mbavu kwa kweli , jamaa sijui anawazaga nini , yani hajawahi kuboa, anapatia mpaka anakera, yani alazimishi kuchekesha wala hatumii nguvu, yani ukimuona tu kabla hajafanya lolote lazima ucheke mbavu. Huyo mama Ima kama kweli yupo basi anamtendea haki sana . Yani anavyoongea , tabia, action kama mwanamke. Mungu aendelee kubariki kipaji cha huyu jamaa, maana anajua kukonga nyoyo zetu.

Joti next .

f4f3d978300436971ec6144c30ecf7dc.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hao ni akina nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom