Wakwe za Beni Pol Matatani! Wasakwa Kenya Nzima

Ukitaka kuzijua roho na akili za kimasikini ndio hizi sasa,watu wanafurahi utadhani watalipwa kiinua mgongo kwa matatizo ya aliyewazidi kimaisha,kweli Tanzania ya viwanda
 
Mkuu,wewe na wenzio acheni tabia za 'kiswahili' ,juzi tu nmepakua app ya radio npate fleva za nyumbani,nakutana na benpol ypo moja ya radio anafanya media tour tena akiwa bongo,
Na alsema wazi ile ni radio ya 4 ametembelea ndani ya 2 weeks,na alitoa ratiba na mipango yake ya muziki.
Sasa mnataka afanyaje,muache dogo bwana a enjoy relationship yake,atabalance tu na kazi ndo uanamme
 
Umeanza lini kumfuatilia Ben Pol?! Hivi unaelewa maana ya kufanya muziki kama kazi na kufanya muziki kama biashara?!
 
Acha atafune Pesa za serikali ya Kenya .Pesa ya serikali siyo Mali ya wakenya" msemo wa wakenya
 
Acha atafune Pesa za serikali ya Kenya .Pesa ya serikali siyo Mali ya wakenya" msemo wa wakenya
Kwani kuna mwenye tatizo na suala la yeye kuwa na huyo mwanamke?! Hoja ni kwamba asijisahau na kufanya muziki kama hobby kwa kuona yupo na mwanamke mwenye pesa!! Anaweza ku-balance yote mawili kwa wakati mmoja!! Mbona Harmonize bado anapiga mzigo kwa kufa mtu huku tukiambiwa Sara nae ana mipesa kochokocho!!! Pesa ya mwanamke is always ya mwanamke kwa jinsi hawa viumbe walivyo wabinafsi! Nani alitarajia Lady Jay Dee angemkejeli Gardner kwenye wimbo wake kwamba hakuwa na chochote zaidi ya box kuu kuu lenye CD๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ