data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Hahaahahaa...Ben Pol ataambia nini watanzania?[emoji3]
Wacha tusubiri kmamaakee..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahahaa...Ben Pol ataambia nini watanzania?[emoji3]
Kijana kapambana haswa ila ndo hivyo"Diaspora" rudi nyumbani kumenoga
Good observationWachangiaji wengi mnaonekana kutamani nafasi ya benpoul.
Kuanguka kwa sababu ya Danga? AIBUUUUBaadhi ya member humu mmejaa wivu na husda, ukiangalia michango ya wengi hapa ni kushangilia Ben Pol kuanguka!
Kijana awatafutie dhamana wakweNaona timu roho mbaya wanafurahia
Mkuu,wewe na wenzio acheni tabia za 'kiswahili' ,juzi tu nmepakua app ya radio npate fleva za nyumbani,nakutana na benpol ypo moja ya radio anafanya media tour tena akiwa bongo,Ben Pol kani-disappoint sana! Yale yale waliyokuwa wamefanya akina Rachel baada ya kupata bwana wa Kiarabu, ndiyo anayafanya mwanaume mzima Ben Pol! Yaani tayari ameshaufanya muziki kwake ni hobby na sio kazi tena!! Ngoja aanze kulambwa vibao huko, ndo atakuja kujua heshima ya mwanaume ni kazi hata kama ni ya kusukuma mkokoteni na sio pesa ya mwanamke!
Umeanza lini kumfuatilia Ben Pol?! Hivi unaelewa maana ya kufanya muziki kama kazi na kufanya muziki kama biashara?!Mkuu,wewe na wenzio acheni tabia za 'kiswahili' ,juzi tu nmepakua app ya radio npate fleva za nyumbani,nakutana na benpol ypo moja ya radio anafanya media tour tena akiwa bongo,
Na alsema wazi ile ni radio ya 4 ametembelea ndani ya 2 weeks,na alitoa ratiba na mipango yake ya muziki.
Sasa mnataka afanyaje,muache dogo bwana a enjoy relationship yake,atabalance tu na kazi ndo uanamme
Acha atafune Pesa za serikali ya Kenya .Pesa ya serikali siyo Mali ya wakenya" msemo wa wakenyaBen Pol kani-disappoint sana! Yale yale waliyokuwa wamefanya akina Rachel baada ya kupata bwana wa Kiarabu, ndiyo anayafanya mwanaume mzima Ben Pol! Yaani tayari ameshaufanya muziki kwake ni hobby na sio kazi tena!! Ngoja aanze kulambwa vibao huko, ndo atakuja kujua heshima ya mwanaume ni kazi hata kama ni ya kusukuma mkokoteni na sio pesa ya mwanamke!
Kwani kuna mwenye tatizo na suala la yeye kuwa na huyo mwanamke?! Hoja ni kwamba asijisahau na kufanya muziki kama hobby kwa kuona yupo na mwanamke mwenye pesa!! Anaweza ku-balance yote mawili kwa wakati mmoja!! Mbona Harmonize bado anapiga mzigo kwa kufa mtu huku tukiambiwa Sara nae ana mipesa kochokocho!!! Pesa ya mwanamke is always ya mwanamke kwa jinsi hawa viumbe walivyo wabinafsi! Nani alitarajia Lady Jay Dee angemkejeli Gardner kwenye wimbo wake kwamba hakuwa na chochote zaidi ya box kuu kuu lenye CD😂😂😂!Acha atafune Pesa za serikali ya Kenya .Pesa ya serikali siyo Mali ya wakenya" msemo wa wakenya