Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Babu yupo na ngozi...babu anabambia ngoziii!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu yupo na ngozi...babu anabambia ngoziii!!
Hahahahaha kwamba ukizeeka ushetani na ulozi unageuka kuwa malaika ?Malaika... [emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Hahahahaha wee mzee unazeeka vibaya sasaCheni block (utumbo) na halo halo(vichwa)
Jr[emoji769]
Hahahahaha kwamba ukizeeka ushetani na ulozi unageuka kuwa malaika ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanusa tu ushalewa sio ?Jero kubwa misugusugu kuna kali zinauzwa mia 3 tu acha kabisa mziki wake
Jr[emoji769]
Mbona guest yenyewe imechoka hivyoo ? Mnafanyaje mambo yenu kwa staili hiyo mzee baba ?[emoji23][emoji23][emoji23]halafu Leo niko uswazi mitaa ya TandaleSubiri updates... Nimekuja kula bata kwa uwezo wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1329330View attachment 1329331
Jr[emoji769]
Maeneo uliopo yanaleta ukakasi kama mtatoka salama bila chabo. Au unatumia nguvu za ulozi kuziba ziba watu wasione ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh na kama ni muhudumu anaweka rekodi vizuri za mteja mwenye show ya kibabe anaweza kukubali.? Au ndo ubakaji kwa sharti la ulozi.Huyo mpiga chabo ajiangalie sana.. La sivyo naye atajumuishwa kwenye show [emoji87][emoji1][emoji23]
Jr[emoji769]
Duuuuh na kama ni muhudumu anaweka rekodi vizuri za mteja mwenye show ya kibabe anaweza kukubali.? Au ndo ubakaji kwa sharti la ulozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ,mvunja rekodi ndio naniMvunja rekodi umetikisika kwa comment ya kijana?
Karibu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanywa juice maumivu kwetu.
Sioni juice hapo kaka.