Wala bata wa JF

Wala bata wa JF

IMG_0894.jpg
 
Jamaa mmoja alikuaga akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari,castle na kili then anatafuta meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa uvumilia ikabidi amuulize kwanini anafanya vile kuagiza bia tatu tofauti na kunywa zote? Yule jamaa alimjibu kua waliwekeana makubaliano na rafiki zake wawili ambao aliishi na kufanya nao kazi kwa pamoja kwamba endapo wangetengana au kuhamishiwa maeneo tofauti basi kila mmoja popote atakapokua akienda bar kunywa basi awanunulie wenzake bia walizokua wanatumia na azinywe ikiwa sehemu yakuwakumbuka nakuenzi undugu au urafiki wao kwahiyo hata jamaa nao walikokua walifanya the same.... Siku nyingine tena mambo yalikua tofauti, jamaa aliingia bar nakuagiza bia mbili tu castle na kili, mhudumu alishangaa tena ikabidi amuulize kulikoni au kuna mmoja amefariki kati ya wale marafiki zako? Jamaa akamjibu hakuna aliyefariki wote wapo isipokuwa yeye ndo kaamua kuacha pombe...[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
 
[emoji1][emoji1][emoji1]mpaka ulibabatue na mikono miwili ndio ukione kifuniko cha asali

Jr[emoji769]
Binadamu wote wanatokea mahali patamu mnooo! jamani duuu! kwanini anapigika na shida za Dunia? eti km huyu usimpende km asali hii unayosema? akapimwe akili huyo anaeipinga hii,. hakika Mungu ni mtaalamu!
 
Mungu fundi kaka
 
Back
Top Bottom