Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa mabibo over dose
Km sio La charlz basi ni mtini pub.Songea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolJamaa mmoja alikuaga akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari,castle na kili then anatafuta meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa uvumilia ikabidi amuulize kwanini anafanya vile kuagiza bia tatu tofauti na kunywa zote? Yule jamaa alimjibu kua waliwekeana makubaliano na rafiki zake wawili ambao aliishi na kufanya nao kazi kwa pamoja kwamba endapo wangetengana au kuhamishiwa maeneo tofauti basi kila mmoja popote atakapokua akienda bar kunywa basi awanunulie wenzake bia walizokua wanatumia na azinywe ikiwa sehemu yakuwakumbuka nakuenzi undugu au urafiki wao kwahiyo hata jamaa nao walikokua walifanya the same.... Siku nyingine tena mambo yalikua tofauti, jamaa aliingia bar nakuagiza bia mbili tu castle na kili, mhudumu alishangaa tena ikabidi amuulize kulikoni au kuna mmoja amefariki kati ya wale marafiki zako? Jamaa akamjibu hakuna aliyefariki wote wapo isipokuwa yeye ndo kaamua kuacha pombe...[emoji16]
Walevi bana hapo anaona rahaaaaa! Dunia yote iko hapo!
Binadamu wote wanatokea mahali patamu mnooo! jamani duuu! kwanini anapigika na shida za Dunia? eti km huyu usimpende km asali hii unayosema? akapimwe akili huyo anaeipinga hii,. hakika Mungu ni mtaalamu![emoji1][emoji1][emoji1]mpaka ulibabatue na mikono miwili ndio ukione kifuniko cha asali
Jr[emoji769]
jamani wadada wana kautamu flani hivi hata ufanyeje ikidume lazima udate tuu
Halafu sukuma moja linasema Bongo shida hivi ubwana shamba wako ni bure kabisa