Wala sina wasiwasi na Simba hii tarehe 19.10.2024 anamshinda yanga sio chini ya magoli 2.

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!

Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.

Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.

Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
 
Hamtaamin
 
Attachments

  • IMG_20241005_155149.jpg
    IMG_20241005_155149.jpg
    113.3 KB · Views: 6
Hapo vip!!

Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.

Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.

Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
Simba hii ni msiba mkubwa kwa mashabiki wake
 
Hapo vip!!

Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.

Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.

Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
Kwa kikosi kipi ulichonacho cha kuifunga yanga?
 
Punguzeni mchecheto basi. Mkifungwa kwa mara nyingine tena mtuambie mapema safari hii lawama zitaenda kwa nani!
Kwa kocha wenu Fadlu Davies, baadhi ya wachezaji wenu akiwemo Kibu Denis, mwamuzi Arajiga, au Mwenyekiti wenu Mangungu?
 
Hapo vip!!

Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.

Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.

Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
Watu kama ninyi ndio mnaokimbia Uzi baada ya gemu.Gemu ya watani Haina mwenyewe SEMA yoyote kati Yao anaweza kushinda siyo eti Simba lazima ashinde umeona yanga ni mtoto?Kumbuka unaenda kucheza na bingwa mtetezi mwenye malengo na mipango Mikubwa kuliko wewe.
 
Sisi hatunaga kuongea sana, ninachojua Bacca ana goli moja Kwa Makolo
 
Hapo vip!!

Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.

Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.

Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
Ndugu unaongea nini mbona sikuelewi?
Uchawi tumezidiwa,uhuni nje ya uwanja hatuwezi kulingana nao,umahiri ndani ya uwanja sina hata la kusema wachezaji wetu ni wepesi sana kupoteza mipira na ni kama hawana control nzuri.Walikuwa na speed mwanzoni ila nahisi kuna ng'ombe wanawakataza wasiwe aggressive. Mfano tu wanavyomsema Joshua Mutale.Huwezi kuwatisha mabeki bila kuwa na mtu kama Joshua Mutale.Lakini kuna kenge wanapiga kelele sana juu yake hadi anaogopa kuwa aggressive.
Ni nini ndugu kinacbokupa jeuri ya kuandika hivi?Ama wewe ni utopolo kutumia propaganda kujaribu kupumbaza wachezaji na mashabiki wa Simba wasiipiganie timu nje ya uwanja?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio ukweli hakuna cha propaganda wala nini...me ni Simba kabla sijazaliwa na baada ya kuzaliwa na baada ya Dunia hii nitakuwa Simba milele
 
Back
Top Bottom