Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Simba hii ni msiba mkubwa kwa mashabiki wakeHapo vip!!
Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.
Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.
Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
Ama kweli matajiri tuna mawazo yanayo fanana.Simba hii ni msiba mkubwa kwa mashabiki wake
Kwa kikosi kipi ulichonacho cha kuifunga yanga?Hapo vip!!
Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.
Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.
Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
Me ninachoomba ifike hiyo tar 19..kubishana na muafrika nisawa na kuambia kondoo mwenye mkia akitembea mkia wake usicheze chezeKwa kikosi kipi ulichonacho cha kuifunga yanga?
Ok ilimradi msije kuanza mapambio ya atumtaki kocha mara atumtaki mangungu!Me ninachoomba ifike hiyo tar 19..kubishana na muafrika nisawa na kuambia kondoo mwenye mkia akitembea mkia wake usicheze cheze
Watu kama ninyi ndio mnaokimbia Uzi baada ya gemu.Gemu ya watani Haina mwenyewe SEMA yoyote kati Yao anaweza kushinda siyo eti Simba lazima ashinde umeona yanga ni mtoto?Kumbuka unaenda kucheza na bingwa mtetezi mwenye malengo na mipango Mikubwa kuliko wewe.Hapo vip!!
Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.
Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.
Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
Ndugu unaongea nini mbona sikuelewi?Hapo vip!!
Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.
Admin naomba usave hii post kwa record ya baadye.
Simba atatawala tar 19.10.2024 panda usipende,uloge usiloge Simba atamfunga yanga.
Huu ndio ukweli hakuna cha propaganda wala nini...me ni Simba kabla sijazaliwa na baada ya kuzaliwa na baada ya Dunia hii nitakuwa Simba mileleNdugu unaongea nini mbona sikuelewi?
Uchawi tumezidiwa,uhuni nje ya uwanja hatuwezi kulingana nao,umahiri ndani ya uwanja sina hata la kusema wachezaji wetu ni wepesi sana kupoteza mipira na ni kama hawana control nzuri.Walikuwa na speed mwanzoni ila nahisi kuna ng'ombe wanawakataza wasiwe aggressive. Mfano tu wanavyomsema Joshua Mutale.Huwezi kuwatisha mabeki bila kuwa na mtu kama Joshua Mutale.Lakini kuna kenge wanapiga kelele sana juu yake hadi anaogopa kuwa aggressive.
Ni nini ndugu kinacbokupa jeuri ya kuandika hivi?Ama wewe ni utopolo kutumia propaganda kujaribu kupumbaza wachezaji na mashabiki wa Simba wasiipiganie timu nje ya uwanja?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app