Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

hapo Lufungira kituoni njia ya kwenda meeda pia pafahamike.

Pia shuka kituo cha bucha ukitokea ubungo kwenda mbezi, usuvuke barabara upande wako huohuo wa kushoto utakutana na chimbo za kufa mtu
 
Kumbuka ni haramu-najisi (najisi kwa kiingereza it is harmful) ina minyoo isiyokufa hata ikipikwa na ni kisababishi cha magonjwa kadhaa. Jiepushe nayo. Kula kiti moto Ni sawa na kuweka diesel kwenye gari la petrol
Ile kitu tamu sana asikwambie mtu
 
Jana nimekula pale sabasaba aisee Jamaa hajui kabisaa kupikaaa...tumbo limeniuma sanaa! Jamaa falaa sana namuhamaaa kabisa

Unamaanisha Rongai mkuu, mbona ndiyo chimbo langu pako vizuri tu.
 
Back
Top Bottom