Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

[HuQUOTE="Mother Confessor, post: 29309706, member: 347754"]"Katika wanyama woote walioumbwa kitimoto kaumbika kuliko woooteeee🎶🎶,kapewa na mafuta na nywele za kizungu na kamkia kafupiii pale kwa nyumaaaa,.upate kachumbari na ndizi za kuchoma na kaserengeti baridiii pale pembeniii🎶🎶🎶🎶"[/QUOTE]
Hujamalizia na akitembea mcheki chura anavyoilembesha yaan anajitikisa hadi raha kwa kweli😁😁😁
 
Cc iringa huku kuna mabanda ya ccm huko ni nooomaa yaa.pale dah umenitoa mate weye ngoja kesho nikaitafute si kwa hilo rost na pia maeneo mengi iringa kiti unapata haina shida... kula kwenda mbele nyama tamu sana 🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖
 
Tabata Segerea pale kituo cha Sheli unaingia shoto kama unaenda chocho la kuibukia S'taki Shari kuna jamaa aitwa Temba pale katikati....ana kitimoto ya makange sio ya dunia hii!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sili sili halaf naachika namuachia nani thubutuuu
Rafiki kwa sababu siku ukiachika utakuwa wangu basi nitajitahidi kukufundisha kula kitimoto mdogomdogo![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena?

Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za kukaanga,nimeshapanga ratiba yangu leo lazima nikale kitimoto.

View attachment 942375

View attachment 942377

Nb:
Mashekhe na Maustadhi tafadharini sana msije kuutia shombo uzi huu,

Huu ni kwa sisi wala kitimoto tu ukiona haukufai kafanye mengine siyo kuja hapa.


Cc Zero IQ

IMG_0977.JPG
MAMBO MATAM TAM PANDE YA KIMARA temboni
 
Back
Top Bottom