Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Morogoro -Nyuma ya Msamvu kuna jamaa anaitwa Kimaro/Kimario kuna kitimoto safi ya kuchoma
 
Morogoro hapa nyuma ya ofisi ya immigration mkoa kwa KIMARIO.
 
Takwimu zinaonesha watu wenye tukalio tulitonona wanaongezeka kwa kasi nadhani sababu ni hii kitimoto mkuu zero uwe unapima kitako mara kwa mara
 
KILA MTU NA MAPENZI YAKO MIMI KITIMOTO NAIONA KAMA UHARO TU
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…