Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Njoo Huku mitaa ya nyakato Kahama panaitwa old traford,,,,wazee wa kitimoto Kahama mji huwa tunakusanyika pale noma nomalee
Hii sehemu wakati niko Kahama walifaidi pesa zangu hawa.

Jirani na barabara ya kwenda Uganda, Kongo na Rwanda aisee walikuwa wanapika vizuri sana sijui saiv hali ikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…