Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Nyuma ya masjid pale naniliu... wanapika kitimoto matata.
 
Hapo mkabala na bunge ni balaa kaka, ka bar kakawaida tu, ila nilipga kitimoto moja imeekewa mchicha dah, nmepamiss dom [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba kujulishwa hv kitimoto wanapimaje?..baada ya kukaanga au kabla maana hv kitimoto peke yangu nimalize kilo 2 ?,,isije ikawa wananipunja? Na walaj tujulishane ni namna gan waweza tambua kama umepunjwa au hujapunjwa maana hii kitu ina bei sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…